Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,043
Toka mwaka 2011 hao wanaojiita wadau wlipewa mda wa kujiandaa.Hata wakipewa mwaka tena yatakuwa hayo hayo.JPM kalijibia hilo.Wadau waliomba uwasilishwe February vipi wamepuuz
Yah sizonje kasema ukifika tu mezani kwake anausign hapo hapo.NA UTASAINIWA
Toka mwaka 2013 naahirishwa tu...hayo maoni ya wadau ni yapi?Wadau waliomba uwasilishwe February vipi wamepuuz
Wewe unitoa maoni yako.............Toka mwaka 2013 naahirishwa tu...hayo maoni ya wadau ni yapi?
Samahani huo mswaada unaeleea nini??Wapitishe fasta
Kwa wanahabari hawa niliowaona leo wanamuuliza Maswali Rais wetu, bora muswada upite ili kuwachuja makanjanjaToka mwaka 2011 hao wanaojiita wadau wlipewa mda wa kujiandaa.Hata wakipewa mwaka tena yatakuwa hayo hayo.JPM kalijibia hilo.
Unafikiri mch. Msigwa atakubali kukosa posho yake? Thubutuuu....itangazwe kuwa kwa awamu hii bunge limekuwa dissolved kwenye serikali.
Hah hah hah hah inabidi nicheke kwa sauti.Samahani huo mswaada unaeleea nini??
Anajua basiii. Ye anacheza tu ngoma.Samahani huo mswaada unaeleea nini??