Dogo vuvuzela wa CCM Nape Nnauye leo mchana kawatolea uvivu wanataaluma wa (Tanzania Profesionals Network) kwenye summit yao iliyofanyika Mlimani City wakati yeye na Mnyika wakitoa mada ya Uzalendo na Utaifa. Nape amedai wataalamu ndio hu draft mikataba mbalimbali inayoingiwa na serikali, akatoa mifano ya Dowans jinsi wanasheria walivyishauri serikali..... Akatoa mifano ya wataalamu walivyoshiriki utoroshaji wa wa wanyama hai kwa ndege!

Hana mpya huyo, ye kashaona kugezea kushonesha suti kama ya Mnyika ndio ujanja basi aishie hapo hapo. Yeye alivyo draft mchakato wa kujivua gamba alionaje? amefanikiwa?
WAKUU!
Nape asituletee giza hapa. Kwani hao anaosema wataalam si wameteuliwa na serikali ya akina NAPE? Sasa atakuwa amewapasha wataalam au ameipasha serikali ya chama chao cha ma-used? Si ni juzi tu kule mjengoni Dodoma kwa uwingi wao waliamua kusimamia sheria ya kununua MITUMBA? Nao walikuwa wataalam au wanachama wa CHAMA CHA MA-USED (CCM)? Apeleke kujichubua kwake na mikorogo yake huko Lumumba.
Kwani nani kaiga za mwenzake Sokwe? Nikumbukavyo mie Nape kaanza mda mrefu na suti hizi hata kabla hajawa Dc, nadhani ungesema Mnyika kaiga... We angalia hata viatu vyaooo
Dogo vuvuzela wa CCM Nape Nnauye leo mchana kawatolea uvivu wanataaluma wa (Tanzania Profesionals Network) kwenye summit yao iliyofanyika Mlimani City wakati yeye na Mnyika wakitoa mada ya Uzalendo na Utaifa.
Nape amedai wataalamu ndio hu-draft mikataba mbalimbali inayoingiwa na serikali, akatoa mifano ya Dowans jinsi wanasheria walivyishauri serikali.....
Akatoa mifano ya wataalamu walivyoshiriki utoroshaji wa wa wanyama hai kwa ndege!
WAKUU!
Hivi kumbe NAPE ni DC? Duh! Hiyo wilaya i,eula wa chuya wakuu!!! Yaani DC, halafu siku zote yupo kiguu na njia kuzurura TZ kusikuwa na bado aitwe mkuu wa wilaya? Ama kweli Chama Cha Ma-used ni zaidi ya ukijuavyo.