Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
- Thread starter
- #61
Tunatambua kuwa alilipwa milioni tano kwaajili ya kampeni za kuwania urais wa chuo hicho, baada ya kushinda akapewa milioni saba ili ahame chama, na kisha ameahidiwa uafisa elimu wilaya kulingana na masomo anayosomea,
Shukrani kwa Chadema Saut baada ya kubaini kijana ameasi chama walimfukuza uanachama yeye na vibaraka wake wengine.
Hivyo Nape Nnauye kaja kuchukua makapi.
kweli mkuu,amechukua makapi kwani tulishawatimuaga mapeama sana,rais wa mwaka jana alihongwa fedha baada ya kupelekwa nchini China na Benard Member yeye pamoja na marais wa vyuo vyote nchini,aliporudi tukambaina pale alipotaka kuvuruga uchaguzi wa TAHILISO ambapo kamanda wetu alishinda