Viwanja vingi Tanzania ni mali ya ccm. Unalalamika mlinyimwa kiwanja na ccm wakapewa!!! Mpaka leo cdm hawajenga
hata Makao Makuu ya chama, unataka tuwape kiwanja ili muwadanganye raia??? Tafuteni vya kwenu. Kule Arusha kuna
sehemu cdm walikuwa wanapenda kukutana (NMC) na kuanzisha vujo ule uwanja serikali ya ccm iliwapa raia wafanyie biashara,mpaka leo cdm hawana sehemu ya kukutania tena.
Sasa wewe unalalamika nini?? Wenzio wa Arusha mpaka leo hawajui wafanye nini kwakuwa ccm ilichukua mali yake, fanya
utafiti dogo usikimbilie kuandika tu. USHAURI ni bora ujitahidi umalizie masomo yako kuliko kushindana na ccm na watu
wake ambao wamekuzidi elimu,,CCM ipo kila siku utachoka na utapoteza muda wako na kibaya zaidi utapoteza future yako.