Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Ndugu, Waache waendelee kujidanganya huku wakifarijiana na propaganda za kibavicha. CCM imeishamaliza kazi yake SAUT tawi la Mwanza na sasa inasonga mbele.
Hawa vijana wanachofanya ni kuuguza majeraha ya kisiasa kwa kufarijiana katika mlengo wa kilaghai.
Maneno matupu hayavunji mfupa.
CCM ilithubutu, ikaweza na sasa inatenda.
Ni hekima tu ya viongozi wa cdm amani inaendekea kuwepo. Tunajua mlisha amua kutumia nguvu badala ya hoja; kupiga badala ya kujibu nini umeulizwa....matamko yenu yapo ktk black books za wapigania haki za binadamu. Si muda mlefu mtajibu hayo the Hague, mfano ni Hutto Wiliam wa Kenya.