Nape auliza swali juu ya ugonjwa na Dengue ila jibu la naibu waziri unajiuliza wanaelewa swali au wanajibu maelezo

Tatizo sio kujua kusoma na kuandika.
Tatizo ni Wakurugenzi kuendekeza Rushwa na kuwapa ushindi watu walioshindwa.

Kama wagombea wa CCM wangeshinda kwa kura basi Chama kingepitisha watu wenye uwezo.
Lakini kwa sababu Wakurugenzi ndio wanaoteua wabunge CCM haina sababu ya kutuletea wabunge bora.
Tunachaguliwa wabunge dhaifu
 
Back
Top Bottom