Nape auliza swali juu ya ugonjwa na Dengue ila jibu la naibu waziri unajiuliza wanaelewa swali au wanajibu maelezo

Mbunge Nape : Kuna ugonjwa wa Dengue na vifo vimeanza kuripotiwa,Serikali inachukua hatua gani, DSM hali ni mbaya?

Naibu Waziri Ulega : Kweli kuna Dengue hasa DSM, Serikali imeguundua moja ya tatizo ni gharama kubwa inayolipwa na wagonjwa wa Dengue, gharama zitapungua.

#Bungeni
Aiseee, basi sawa
 
Uledi ni Waziri wa Uvivu.. sorry, Uvuvi.
Swali la Nappe na hata lile la Mama Salma Kikwete kajibu kisiasa kwa general knowledge.

Kiufupi mawaziri wa Afya wote hawakuwapo Bungeni leo. Nadhani wanafuatilia maendeleo ya kipindu pindu Dar.
 
Oohh..Kama ndio hivi basi uledi asilaumiwe.

Hizo ndizo gharama za fisiemu ambazo watu wa kawaida hawawezi kuziona... ndio maana hatutaki "DHAIFU LIVE!!"
 
Uledi ni Waziri wa Uvivu.. sorry, Uvuvi.
Swali la Nappe na hata lile la Mama Salma Kikwete kajibu kisiasa kwa general knowledge.

Kiufupi mawaziri wa Afya wote hawakuwapo Bungeni leo. Nadhani wanafuatilia maendeleo ya kipindu pindu Dar.
Kwa mitapisho ile na majitaka tiririfu Kariakoo Dar kipindupindu kuisha HAIWEZEKANI
 
...Kuna ulazima wa kubadilisha masharti na vigezo vya kugombea ubunge nchini. Sio kila anayeweza kusoma nakuandika anafaa kuwa mbunge
Tatizo sio kujua kusoma na kuandika.
Tatizo ni Wakurugenzi kuendekeza Rushwa na kuwapa ushindi watu walioshindwa.

Kama wagombea wa CCM wangeshinda kwa kura basi Chama kingepitisha watu wenye uwezo.
Lakini kwa sababu Wakurugenzi ndio wanaoteua wabunge CCM haina sababu ya kutuletea wabunge bora.
 
Oohh..Kama ndio hivi basi uledi asilaumiwe.
Ni kweli Ulega hasitahili kulaumiwa. Nilimsikiliza akijibu hata maswali kuhusu vitambi nikagundua amejitahidi. Na tukumbuke haya yalikuwa ni maswali ya nyongeza hayakuwa maswali ya msingi.
 
si niliskia wameshashusha gharama za vipimo??
na muda sikujua kama vifo vishaanza kutokea aisee

tunazidi kuelewa kwa nini serikali haikutaka bunge live
 
Mbunge Nape : Kuna ugonjwa wa Dengue na vifo vimeanza kuripotiwa,Serikali inachukua hatua gani, DSM hali ni mbaya?

Naibu Waziri Ulega : Kweli kuna Dengue hasa DSM, Serikali imeguundua moja ya tatizo ni gharama kubwa inayolipwa na wagonjwa wa Dengue, gharama zitapungua.

#Bungeni
target yao kubwa ni ela za vipimo, dengue ilikua sio ya kulipia kwenda kupima au kama kulipia basi sio kwa gharama kubwa wanazoweka.

#mradi
 
...Kuna ulazima wa kubadilisha masharti na vigezo vya kugombea ubunge nchini. Sio kila anayeweza kusoma nakuandika anafaa kuwa mbunge
Tatizo sio wabunge ila ni mfumo wa kupata serikali,endapo kama nafasi ya rais yaani muundo wa serikali uwe unajitegemea na usihusiane na chama kinachounda bunge,nikiwa na maana mfumo wa chama fulani kuunda serikali na kuunda bunge hiyo inaathri sana.
Kwa sababu kwa Tanzania rais ndio anakuwa mwenyekiti wa chama hivyo sio raisi mfumo wa bunge ukakinzana na mfumo wa serikali hivyo kupelekea bunge kuwa dhaifu..
 
Tatizo ni kwa yule anaempa uwaziri,anampa kama asante au ana elumu ya kutosha ktk eneo hilo?

Back
Top Bottom