Nape atoa siri ya ushindi Igunga !

Nape atoa siri ya ushindi Igunga !

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
4,315
Reaction score
309
Nape atoa picha kwenye face book walll yake jinsi ya makamanda walivyo shughulika igunga. Picha yaonyesha jinsi walivyokuwa wakishughulika kwenye mikakati ya kuhakikisha ushindi wapatikana.
310200_275743695780384_100000342668655_975886_351198871_n.jpg
 
kamati ya kuchakachua, wameshinda ila inamuuma sana kupigwa ban asikanyage knye kampen igunga
 
Oh yeah ni rahisi kama waliandikisha watu 171,000 na waliopiga kura 50,000 ni rahisi kugushi na kupata ushindi
 
Nape ni vuvuzera sana anaona raha kuhonga wananchi kodi za watanzania ili wawape kura,ila mwisho wao unakaribia.
 
Nape atoa picha kwenye face book walll yake jinsi ya makamanda walivyo shughulika igunga. Picha yaonyesha jinsi walivyokuwa wakishughulika kwenye mikakati ya kuhakikisha ushindi wapatikana.
310200_275743695780384_100000342668655_975886_351198871_n.jpg

Kichwa tope............sasa hizo siri ziko wapi? mbona hujui hata kuandika thread mkuu....Kichwa kibovu nenda shule kwanza!!!
 
Kwa staili hihi Ccm watatawala milele labda tupate katiba mpya
 
Mbona yeye hayumo?

Sasa kama yeye ameiweka facebook, na hajaileta huku, japo ni member, au wewe ni mkewe?
 
Iko siku magamba wata mgeuza mbuzi wa kafara atajuta!
 
Huu wizi utakuja waponza hawa magamba. Next time ni battle tu! Mashavu yao!
 
Unamsemea kwani yeye nani kwako, anakulipa shilingi ngapi
 
Back
Top Bottom