Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

Jamani huyo jamaa ni Gamba gumu,ila muda si mrefu atalainika.Kama anabisha muulize Msabaha,Karamagi na Kingunge.
 
Blabla za kisiasa ni zile zinazofanywa na wabunge wa cdm bungeni, wanapiga kelele weeeh, huku wakijua kelele zao sawa na machozi ya samaki yanayoishia kusombwa na maji!
Wa ccm je? wao wanayoongea yanakubaliwa?
 

Mh, umeshasajiri ID nyingine tena? Tabu yote ya nini?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…