Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Mkuu huyo wa mkoa alisema mkoa unahitaji madarasa 718 wakati yaliyopo ni 479 na hiyo kuwa na upungufu wa madawati 239 na kwamba wilaya ya Bunda ndiyo inayoongoza kuwa upungufu wa madarasa.
niwewe kweli au naota??Naurumia sana huyu dogo
Wanamchambia na unapotea
Vijana tunakosa imani naye maana hana msimamo anatumiwa kama msalani
niwewe kweli au naota??
umekuwa msema kweli siku hizi hongera sana bibie!
jamani wilaya ya bunda si ni jimbo la steven wassira?
Ni kweli hili ndilo jimbo la mzee wa Gombe a.k.a Tysonjamani wilaya ya Bunda si ni jimbo la Steven Wassira?
ndiyo maana kaamua kuambatana na wazee.Naurumia sana huyu dogo
Wanamchambia na unapotea
Vijana tunakosa imani naye maana hana msimamo anatumiwa kama msalani
Hizo tabasamu zote zinazoonekana kwenye picha hii ni natural kweli au artificial? Tabasamu za watu wa ccm utadhani fisi kaona mzoga!!
amekim bilia Serengeti baada ya kuwa Mbunge wa Kwanza kushindwaNamuona kama mbunge wa zamani wa Musoma Mjini bwana Manyinyi.
You're wrong, umuonaye ni mdogo wake Manyinyi aitwaye Vedastus - mjumbe wa NEC Mara. Manyinyi sasa hivi yuko busy na uwekezaji wilayani Serengeti. Mungu akipenda, anaweza kupambana na Dr Kebwe 2015 jimbo la Serengeti.Namuona kama mbunge wa zamani wa Musoma Mjini bwana Manyinyi.
You're wrong, umuonaye ni mdogo wake Manyinyi aitwaye Vedastus - mjumbe wa NEC Mara. Manyinyi sasa hivi yuko busy na uwekezaji wilayani Serengeti. Mungu akipenda, anaweza kupambana na Dr Kebwe 2015 jimbo la Serengeti.