Wamesilimishwa sijakuelewa unamaanisha wamekuwa waislam?Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi
ccm inakufa wewe unasema juu...uliona wapi maita ikawa juu zaidi ya kuzikwa chini...
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi
Ndio maana ni vigumu kuitofautisha CCM, CUF na UISLAM
nape aibu tupu, huu mpango wake wa kadi ulivuja tangu ijumaa zilichapwa kenya
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi
Nape Mhuni tu, na tukishika nchi tunakamata yeye na kundi lake wakajibu rasilimali za watanzania wamezipeleka wapi!
kumbe mama lwakatare alikuwa sahihi bungeni kwamba JF ifungiwe!!!!Sasa naamini kuwa Ukiweka Kinyesi pamoja na mwanaccm hakuna tofauti. Yaani wooote ni Mavi!
Sasa si bora we mwanamke ukae kimya tu!! Hapo kwenye red ndio nini hicho? Kwa hiyo ndiyo uelewa wako wa kimombo umekomea hapo?Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
...nape amejihangaisha sana huko mwanza...wametumia fedha nyingi ili kuhadaa wanachi waweze kuhudhuria sherehe hizo...
Karithi uhuni toka kwa baba yake wa kambo 'JK Msoga'.
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila mipango yao ya kutengeneza kadi feki kibao za chadema na kugawa kwa hawa watu ili wadai kuzirudisha ilishajulikana...alichokifanya nape ni kutimiza umafia wa kuhadaa wananchi na kukihujumu chadema...kweli ccm ni chama pinzani mwanza leo nimejiridhisha..