...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila mipango yao ya kutengeneza kadi feki kibao za chadema na kugawa kwa hawa watu ili wadai kuzirudisha ilishajulikana...alichokifanya nape ni kutimiza umafia wa kuhadaa wananchi na kukihujumu chadema...kweli ccm ni chama pinzani mwanza leo nimejiridhisha..
nape aibu tupu, huu mpango wake wa kadi ulivuja tangu ijumaa zilichapwa kenya
Ndio maana ni vigumu kuitofautisha CCM, CUF na UISLAMMagwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.
Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
CCM juu, juu, juu zaidi