bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 563
Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app