Nape ashtakiwe kwa kuvunja kiapo chake

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965

Mbona hujasema kwa anayevunja katiba ya nchi yetu hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nsam

Senior Member
Oct 25, 2018
113
250
Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumziaje na wanaovunja katiba

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,791
2,000
Kama amevunja masharti ya siri za chama then you're on the very wrong platform, peleka hiyo huko kwenye vikao vyenu na mumuadhibu huko huko.
All in all msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ukweli humuweka mtu huru.
Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,210

Ungeanza kumshtaki anae vunja katiba na sheria zenu kila siku kwanza!

Nape humuwezi ni mwenzenu ila kawatega

Wewe sio kada mtiifu Bali ni kada mjinga
 
Risker

Member
Apr 14, 2018
32
125
Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we njemba Bichwa La Mtoto, yaani hata halijui kuchanganua Uongo na Ukweli, Bichwa la Mtoto halina uwezo wa kufahamu nani yupo upande wa Wananchi na nani anatetea maslahi ya matumbo ya watawala. Bichwa la mtoto linawaza uji tu na maziwa mambo mengine ni empty set

Sikia watu waovu na waongo miaka 800 hawawapendi watu wema na wakweli. Hata kama wana mapungufu yao au wanatafuta mtaji wa kisiasa haituhusu but lililo wazi ni kwamba kuna watu kama Nape, Zitto, Fatma, Lissu wameamua kujitoa hata kama wafanywa nini but maslahi ya wananchi is their 1st priority so we Bichwa kama unapinga wananchi tusitetewe labda ni mkimbizi wewe
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,338

Una kitu kizuri mawazoni mwako.Kitu kimoja ukikumbuke:Uandishi wa kufuata kanuni.
HALAFU:Masisiemu yakigombana unapaswa kutulia tulii.Ukiona mmoja anahitaji kisu muda huo wa ugomvi ili amchinje mgomvi wake,mpatie.
 
bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Hao wote ulio wataja hakuna anaye kutetea wewe hao ni speaker ambazo zinatoa sauti za walio shika maiki ambao maslahi yao yameshikwa pabaya kwa iyo wanawatumia hao kmvuruga Rais wetu. waambie Rais wetu mtu strong kabla hawaja mjaribu atawajaribu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Kweli we njemba Bichwa La Mtoto, yaani hata halijui kuchanganua Uongo na Ukweli, Bichwa la Mtoto halina uwezo wa kufahamu nani yupo upande wa Wananchi na nani anatetea maslahi ya matumbo ya watawala. Bichwa la mtoto linawaza uji tu na maziwa mambo mengine ni empty set

Sikia watu waovu na waongo miaka 800 hawawapendi watu wema na wakweli. Hata kama wana mapungufu yao au wanatafuta mtaji wa kisiasa haituhusu but lililo wazi ni kwamba kuna watu kama Nape, Zitto, Fatma, Lissu wameamua kujitoa hata kama wafanywa nini but maslahi ya wananchi is their 1st priority so we Bichwa kama unapinga wananchi tusitetewe labda ni mkimbizi wewe
Hao wote ulio wataja hakuna anaye kutetea wewe hao ni speaker ambazo zinatoa sauti za walio shika maiki ambao maslahi yao yameshikwa pabaya kwa iyo wanawatumia hao kmvuruga Rais wetu. waambie Rais wetu mtu strong kabla hawaja mjaribu atawajaribu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom