Nape ashtakiwe kwa kuvunja kiapo chake

Ndugu GT kama mnavyo jitanabaisha wenyewe kwenye jukwaa hili pendwa la siasa baada ya kumsikiliza ndugu Nape kwa kuanza kujutia kwa kauli zake mwenyewe za kuzuia bunge kurushwa Iive je kwa kitendo cha yeye mwenyewe kusema kuwa kuzuiawa kwa bunge kurushwa live haikuwa na matakwa yake ila ni shindikizo lilikuwa kutoka juu na yeye kwa kipindi hicho alikuwa ni waziri kwa maana hiyo ilikuwa ni siri ya serikali alikuwa akiitekeleza je kwa sasa anavyo anza kutoa siri hiyo si kuvunja sharti za kiapo alicho apa ya kwamba ata linda na kuhifadhi siri za serikali na hataruhusiwa kuzitoa kwa kipindi chote cha maisha yake nikiwa kama mtiifu kwa chama changu cha mapinduzi ni vema mtu huyu kuchukuliwa sheria ili kuweza kushtakiwa kwa kuvunja masharti ya kiapo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo siri wanazoapaga wateule wa Raising kuzilinda ni siri aina gani hizo?
Naamini kuna siri za kulinda na za kuzitoa hadharani. Hata ufisadi unapofanywa ni siri, maazimio ya uonevu kukiuka katiba ni siri n.k. Je, mzalendo wa kweli anyamazie mabaya aliyoyakuta au yatakayomkuta ktk uongozi wake?
Msaada tafadhali kuhusu siri zinazotakiwa kunyamaziwa.
 
Back
Top Bottom