Nape asema Edward Siyo msafi


nape kapanic, walipanga benard amuachie jimbo lake na amsaidie kupata ubunge...sasa mambo magumu teh teh...majambazi yanapigana yenyewe polithi tunaweka silaha chini tunapata moja moto moja baridi..yakichoka tuyapiga pigu then tunatangaza ushindi
 
Engineer wa fisadi zote ni mkuu wa Kaya mfano escrow, Richmond, mabehewa fake ya mwaky Ndio maaana hakuna anaye pelekwa Kwa pilato,Nape mwenyewe anajua Hilo na hicho cheo kapewa kama zawadi ya kificha Siri na kuchafua wengine
 
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....

Hakuna Msafi ccm wote ni wachafu , kila mmoja ana Uchafu wake , Nape mwenyewe kutwa anashinda Kwa membe kuchukua Rushwa na Sasa kabuni mladi wale wapinzani wote wa Lowasa kawageuza Mabuzi anawalia pesa sana yeye mwenyewe ni Fisadi mkubwa , Nape eti naye anathubutu kumnyooshea wengine Vidole ! Wakati yeye pia ni fisadi papa.
 
Nape Hana lolote ni Ndumila kuwili na Fisadi kwa Sasa kaja na mbinu ya kumsakama Lowasa ili avune Pesa toka kwa wale wapinzani wake , siasa za Tanzania kwa kweli zinasikitisha Kama si kushangaza , membe kaamua kutumia nguvu kubwa kuwanunua watu akiwemo Nape ili wamchafue Lowasa pasipo kutafakari kuwa yeye mwenyewe hakubaliki hata kidogo .
 
Engineer wa fisadi zote ni mkuu wa Kaya mfano escrow, Richmond, mabehewa fake ya mwaky Ndio maaana hakuna anaye pelekwa Kwa pilato,Nape mwenyewe anajua Hilo na hicho cheo kapewa kama zawadi ya kificha Siri na kuchafua wengine

Nape anakula na kuishi kwa Pesa toka kwa Membe na wabaya wengine wa Lowasa ndiyo rafiki zake , hata Yale mapesa ya marehemu Gadafi ambayo yamechimbiwa nyumbani kwa Membe keshaanza kuyatafuna sana.
 
Huyu Nape hana wengine wakuwaongelea kila wakati Edward Edward hadi sasa laza walitibuana kivyao hao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…