CCM, tafadhali nakushauri kitu kimoja. watu kama nape,nchemba,na malima, hebu wapeleke pale new York kutembea wiki mbili tuu. nakuhakikishia watachenji kimawazo vibaya sana nakuthamini nini maana ya kucreate jobs kwa raia. yaani wao kwa sababu mababa zao walizeekea chamani, basi nao lazima wapate nafasi za uongozi ingawa kichwani mna sauti za kasuku! nakuhakikishiwa wakifika low manhatan pale wallstreet waone vijana lika lao wanajua kusimulia uchumi na kufanyia kazi uchumi wa marekani, watabadilika tuuu.Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.
Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.
NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.

Nape ,najua unaongea haya kwa makusudi,,nachofurahi unazungumza uwongo na taarifa hizo hazitakuwa na kibali popote.
Mbona nilikuwa huko sikuyaona hayo zaidi ya kukutana na vijana ambao Mwigulu amewatumia pesa wafanye vurugu.
CCM, tafadhali nakushauri kitu kimoja. watu kama nape,nchemba,na malima, hebu wapeleke pale new York kutembea wiki mbili tuu. nakuhakikishia watachenji kimawazo vibaya sana nakuthamini nini maana ya kucreate jobs kwa raia. yaani wao kwa sababu mababa zao walizeekea chamani, basi nao lazima wapate nafasi za uongozi ingawa kichwani mna sauti za kasuku! nakuhakikishiwa wakifika low manhatan pale wallstreet waone vijana lika lao wanajua kusimulia uchumi na kufanyia kazi uchumi wa marekani, watabadilika tuuu.
watu wapo sehemu nyeti namna hiyo na hawajui nini maana ya madhara ya unemployment, kweli jamani tutafika? sijamsikia hata siku moja akizungumzia inflation, unemployment, low quality education na food stam kwa wajane! Je kama mtu hayazungumzii haya basic human needs, kweli huyu ni kiongozi wa kesho au mzigo wa leo? haya mambo ya mzigo wa leo ni kiongozi wa kesho CCM tafadhali jaribuni kuyamulika ili kujenga chama imara.
hata hawa chadema, hawaoneshi kupigana kimaneno vita vya kujenga uchumi na CCM, je huu ni upinzani wa kuimarisha chama au nani ni bora kutujengea maisha bora? Chadema, tueleze una foreign policy gani nzuri za ku atract western europe investors? au na wewe bado una kasumba ya kuichukia marekani na Israel ukipata kiti cha agano?
ccm please come to your senses!!!
Siasa za kufanya propaganda za kuua watu ni laana.
Mungu atawahukumu 2015. Utawala wenu umefika kikomo!!
ccm mheishiwa wauaji ni nyie igunga ,arumeru, etc mlitaka kumuua kiwia na mbunge wetu wa ukerewe
sasa mmemkosa ulimboka mwaongea porojo nape twakujua siasa na porojo zako labda ukawambia wasio na akili kama wewe .................
Cdm 2015
Muds rudisha post ya waraka wa kamati kuu ya chadema uliovuja utakuwa ni waraka wa kweli kwa mauaji ya lwakatare iramba.kufa chadema