Nape apokelewa kishujaa SAUT Mwanza

Nape apokelewa kishujaa SAUT Mwanza

Nape akiwa SAUT amewaahidi wanafunzi kushughulikia matatizo yao ya mikopo pamoja na mazingira mabovu ya kusoma.

Wadau hawa ni wasomi wanakuwa misukule kiasi hiki,je wananchi vijijini itakuweje.

Wasomi hao hawawezi hata kuhoji kwa nini matatizo hayo hayajatatuliwa miaka 10 ya JK.

Wasomi wanapoishia kulishwa ng'ombe na bia,tutegemee mabadiliko na uwajibishaji?

Haya mambo yanatia kinyaa
 
CCM ni chama cha kilaghai! By the way, yale maisha bora kwa kila mtanzania tuliyoahidiwa mwaka 2005 yako wapi? ulaghai mtupu!
 
hivi walikodi malori mangapi? hata pilau kama kawaida nasikia waliambia ipo kwahiyo waende wengi.
 
Wakuu lile tumbo la Nape mbona linakuwa kubwa sana siku zinavyokwenda? au ndiyo lile la miezi 9?
 
kweli kamanda hawa jama wanatudharilisha sana cc sana hapa ndio nakumbuka ule msafara wa mamba, ndio maana wengine wasomi lkn hawajaelimika; tuwasamehe.
 
Naomba tuambiane ukweli watania wenzangu, mpaka hapa tulipofika, taifa hili litakombolewa na watu wenye elimu ya kawaida tu na wale wasiosoma kabisa lakini wanajifunza kupitia mambo yanavyoenda kwa kushirikiana na wasomi wachache wanojitambua, sababu wasomi walio wengi wanazingua, sisi tunafikiri kufika chuo kikuu na kutoka basi huo ndio usomi, yaani wanafunzi wa vyuo vikuu kwa sasa ni aibu tupu, sijui taifa linazalisha watu wa namna gani, unakuta mtu yupoyupo tu, hajui kinachoendelea nchini, hana mawazo yoyote tufanye nini taifa lisonge mbele, wanaishia kufanya uasherati wa wazi na kuambukizana ukimwi, wanakesha usiku mzima kuangalia movi na sio bunge au taarifa mbalimbali, sasa ukiona wasomi wanahongwa nyama na wali na wakina Nape, kuna nini tena hapo, usomi uko wapi, thamani ya wasomi ndani taifa imepuuzwa wasomi wenyewe, watashughulikia lini ile hali mpaka sasa kuna vyuo havijapata fedha, na vingine vimepata juzi tu hapa tangu kufunguliwa.
 
Naomba tuambiane ukweli watanzania wenzangu, mpaka hapa tulipofika, taifa hili litakombolewa na watu wenye elimu ya kawaida tu na wale wasiosoma kabisa lakini wanajifunza kupitia mambo yanavyoenda kwa kushirikiana na wasomi wachache wanojitambua, sababu wasomi walio wengi wanazingua, sisi tunafikiri kufika chuo kikuu na kutoka basi huo ndio usomi, yaani wanafunzi wa vyuo vikuu kwa sasa ni aibu tupu, sijui taifa linazalisha watu wa namna gani, unakuta mtu yupoyupo tu, hajui kinachoendelea nchini, hana mawazo yoyote tufanye nini taifa lisonge mbele, wanaishia kufanya uasherati wa wazi na kuambukizana ukimwi, wanakesha usiku mzima kuangalia movi na sio bunge au taarifa mbalimbali, sasa ukiona wasomi wanahongwa nyama na wali na wakina Nape, kuna nini tena hapo, usomi uko wapi, thamani ya wasomi ndani taifa imepuuzwa na wasomi wenyewe, watashughulikia lini ile hali mpaka sasa kuna vyuo havijapata fedha, na vingine vimepata juzi tu hapa tangu kufunguliwa.
 
Mkuu Mwanamakambako nakuunga mkono.lile janga la wasomi waliopo madarakani kuiangamiza jamii yake linabarikiwa hata na sisi wasomi tulio nje ya mfumo.Kiukweli jamii ya kawaida haina tena haja ya kututegemea tena
 
Naomba tuambiane ukweli watania wenzangu, mpaka hapa tulipofika, taifa hili litakombolewa na watu wenye elimu ya kawaida tu na wale wasiosoma kabisa lakini wanajifunza kupitia mambo yanavyoenda kwa kushirikiana na wasomi wachache wanojitambua, sababu wasomi walio wengi wanazingua, sisi tunafikiri kufika chuo kikuu na kutoka basi huo ndio usomi, yaani wanafunzi wa vyuo vikuu kwa sasa ni aibu tupu, sijui taifa linazalisha watu wa namna gani, unakuta mtu yupoyupo tu, hajui kinachoendelea nchini, hana mawazo yoyote tufanye nini taifa lisonge mbele, wanaishia kufanya uasherati wa wazi na kuambukizana ukimwi, wanakesha usiku mzima kuangalia movi na sio bunge au taarifa mbalimbali, sasa ukiona wasomi wanahongwa nyama na wali na wakina Nape, kuna nini tena hapo, usomi uko wapi, thamani ya wasomi ndani taifa imepuuzwa wasomi wenyewe, watashughulikia lini ile hali mpaka sasa kuna vyuo havijapata fedha, na vingine vimepata juzi tu hapa tangu kufunguliwa.
kuna mtu mmoja kutoka kigoma eti amenigia simu kwamba wanaikubali ACT ya zitto kabwe kwa sababu lami imewekwa kutoka kigoma mpaka uvinzaa. na huyu jamaa anajiita msomi
 
kuna mtu mmoja kutoka kigoma eti amenigia simu kwamba wanaikubali ACT ya zitto kabwe kwa sababu lami imewekwa kutoka kigoma mpaka uvinzaa. na huyu jamaa anajiita msomi

na logic ya kuitwa Msukule inaanzia hapa,haiwezekani msomi kama yule anaangalia mambo kwa upeo mdogo kiasi hicho,nini mbna ya usomi,ugumu wa maisha unaishia kwny lami?
 
Nape akiwa SAUT amewaahidi wanafunzi kushughulikia matatizo yao ya mikopo pamoja na mazingira mabovu ya kusoma.

Wadau hawa ni wasomi wanakuwa misukule kiasi hiki,je wananchi vijijini itakuweje.

Wasomi hao hawawezi hata kuhoji kwa nini matatizo hayo hayajatatuliwa miaka 10 ya JK.

Wasomi wanapoishia kulishwa ng'ombe na bia,tutegemee mabadiliko na uwajibishaji?

Haya mambo yanatia kinyaa

Nifedheha kubwa sana kwa hawa wanaojiita wasomi kama imefika mahali unahongwa nyama na bia then ukaviona ni vitu vyenye thaman sana kwako. Wanamanisha elimu yao ni sawa na ngombe na bia utegemee kweli hata uwezo wakuandika barua yakuomba kazi waweze inauma sana.
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokelewa na umati wa watu kwenye eneo la mkutano Nyamalango ambapo atahutubia wanachama wa CCM Tawi la SAUT pamoja na wakazi wa maeneo hayo , pamoja na kuhutubia pia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi atawapokea wanachama zaidi ya 30 wanaotoka Upinzani na kujiunga na CCM

Wanachama wa CCM SAUT wakionyesha ujumbe kutoka kwenye mabango

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipeana mikono na wanachama wa CCM SAUT kwenye uwanja wa Nyamalango.

Nifuraha kwa kila Mwana CCM SAUT wakati wa mapokezi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye.

Ujumbe kutoka kwa Tawi la CCM SAUT

=========================================

Hivi hawa SAUT si ndio wale wenye alama dhaifu za form six (Div 3&4) walioshindwa kupata vyuo vya maana kama UDSM, SUA, ARU, Mzumbe na kwingineko?
 
hizi sifa bwana, mie sijao udhuja wwote ule, nilidhani kulikuwa na mapambano. watu wenyewe hawajai hata kwenye kiganja, inamaana kundi lote waligawiwa kadi? mbona hata 400 hawazidi kwa huo umati?
 
Back
Top Bottom