Umati uko wapi au macho yangu, utawapata wasiowajua wanafunzi wa SAUT.
Mazuzu kwa mzuzu wamekutana kudanganyana
Nini kipya hapo wote hao ni familia moja
Wahandishi wa habari yericho nyerere ben sanane na wengine wanne wapewa pikipiki.
Mazuzu kwa mzuzu wamekutana kudanganyana
Nini kipya hapo wote hao ni familia moja
hivi yule demu alipiga picha za uchi wa hapo sauti mwanza (nsia swai) yupo? people graduated but still stupidy
hakuna kitu kwa vijana wakitanzania ni njaa tuu, kijana yeyote yule wa Kitanzania Tumbo lake ndio msimamo wake sio kichama hata nape naye angekuwa CHADEMA kama angeahidiwa kugombea Ubungo mwaka 2010, hakuna kitu hapo ni njaa tuu
Hahahhaha! Mabavicha mmehangaika weeee mwisho yametimia niliwaambia hamuwezi zuia mafuriko kwa viganja!!! Rais wa serikali ya wanafunzi SAUT, Saimon Filbert Macheyeki kakabidhi kadi ya CDM kwa Nape na kupewa kadi ya kijani kadi ya CCM.
Big Up Nape, kanyaga twende!
hivi kweli humjui nsia swai bora nagongea wewe unavutia kwenye ndani ya shimo la taka people graduated but still stupidyBangi za kugongea zinalevya sana.
Huyo demu wako alianza lini chuo hadi sasa bado awe anasoma?