Nape aonja joto ya jiwe zomea zomea..

Wewe vipi?. Utaiona vipi hoja yangu ina mashiko wakati unachokifikiria hakina mashiko katika ulimwengu wa hoja mbadala.

Toka lini zomea ikawa ni kipimo mbadala cha kisiasa kama unakubalika au hukubaliki zaidi dalili ya kukosa hoja.

Demokrasia kisiasa inajengwa kwa hoja na hoja mbadala zinapatikana palipo na political tolerance. Kinyume cha hivyo ni uhuni na vulugu.

zomea ni kinyume cha shangilia......
 
Mkuu Zogwale ssm wanajua wakichemsha kwenye huu udiwani Meya wao wa kuchonga atakuwa ametolewa automatically maana Chadema watadominate quoram za baraza la madiwani
Aise!!! Watu was the essence ya bomu? Eti kumbe na polisi wa usalama walikuwepo plus maluteni usu kibao!! Yaani nguvu yote ya nini? Na mabomu yajaua!!! Arusha bila polisi ni amani tele, wala fujo ya kuua mbu hutasikia!!!! Ujumbe huu uwafikei vyombo ya usalama wote.
 
Back
Top Bottom