GE2025 Nape aongoza kwa kishindo Mtama

GE2025 Nape aongoza kwa kishindo Mtama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kohava

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
49
Reaction score
56
Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya
1. Nape kura 3,160
2. Nahonyo kura 1,545
3. Chilumba 824
4. Jemadari Saidi 358
 
Mnachanganya sana watu kuna mtu kapost kuwa Jemedari kawabwaga kwa Shangwe nikaagiza broiler Mzima na Jacki's 5 na Dompo ya kuondolea kiungulia cha broiler so sad ndio hivyo tena furaha imekuwa Karaha.
 
😂😂😂🤣😂
 
Kuna watu mmejipata jtatu kbs unachapa vyombo kibabe
 
Mnachanganya sana watu kuna mtu kapost kuwa Jemedari kawabwaga kwa Shangwe nikaagiza broiler Mzima na Jacki's 5 na Dompo ya kuondolea kiungulia cha broiler so sad ndio hivyo tena furaha imekuwa Karaha.
Huu umeme uliokatika nchi nzima,imepita na uharibifu mahali lazima!
 
Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya
1. Nape kura 3,160
2. Nahonyo kura 1,545
3. Chilumba 824
4. Jemadari Saidiu ni haramu,nusu haramu na halali?

Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya
1. Nape kura 3,160
2. Nahonyo kura 1,545
3. Chilumba 824
4. Jemadari Saidi 358
Hizo kura ni haramu,nusu haramu au halali?
 
Mnachanganya sana watu kuna mtu kapost kuwa Jemedari kawabwaga kwa Shangwe nikaagiza broiler Mzima na Jacki's 5 na Dompo ya kuondolea kiungulia cha broiler so sad ndio hivyo tena furaha imekuwa Karaha.
Pole sana, ila jamaa pale Bukoba alishasema yeye ni mtu wa kazi chafu kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom