Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,931
- 1,170
Waziri wa habari,utamaduni na michezo,amefanya mambo makubwa mawili ya kutunisha msuli. Jambo la kwanza aliloanza nalo ni kulifungia gazeti la kiuchunguzi la MAWIO,alitoa sababu zake za kulifungia lakini niwazi sababu hizo haziwezi kueleweka kwa mtu yoyote makini.
Jambo la pili alilofanya ni kupiga marufuku TBC kutokurushwa live matangazo ya bunge toka dodoma kwa kigezo kuwa TBC inapata hasara ama kwa lugha nyingine amesema gharama za uendeshaji ni kubwa na shirika halitaweza kurusha live.
Je haya yote yanafanana na kauli mbiu ya hapa kazi tu? Au kuna mtu anatunishiwa msuli ili ajue wazi kuna watu wanakishipa na wakiamua mambo hakuna wa kumzuia?