NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 328
AAliyekuwa Waziri wa Habari Mh. Nape Mosesi Mnauye amekuwa akipost maneno tofauti kila siku baada ya kutenguliwa kwake.
Nape alisahau kama yuko Serikalini na kuna msemaji mkuu alikuwa bado anaota enzi za Msemaji wa Chama ambapo alikuwa na mamlaka ya kuikosoa Serikali na kuitolea maagizo na matamko.
Kwa maoni yangu brother Nape akae kimya atulie huenda angetafutiwa nafasi huko kwenye Chama ndo kunamfaa zaidi kuliko Serikalini. Asitake kuchafua hali ya hewa ya nchi, kuharibu Amani yetu na Kutaka kukivuruga Chama Tawala ambacho anasema alikipigania kwa Siku 28 huku akilala porini Kisa Uwaziri. Awe na Subira kwani Tumefundishwa na Babu zetu 'Subira yavuta heri '. Akamuulize mama Kilango.
Em kwanza rekebisha hayo majina yake mawili...
Let it be Mnauye or Nnauye means da same thing 'Msirudi' bradaMhhh! Ya Nape unayaona lakini ya Bashite ya kufoji vyeti na kuvamia clouds huyaoni! Halafu usimuharibie jina lake banaa! Tanzania hakuna mtu anayeitwa Mosesi Mnauye! Anapatikana mkoa gani huyu!?
Bashite mwingine huyu..... huoni aibu kubisha kukosea jina la mtu.... watu wakisema huyo hawamjui je... !!!!Utajijua Mwenyewe bhana si bora umejielewa si lazima nispell correct kama wewe mwenyewe
Bashite mwingine huyu..... huoni aibu kubisha kukosea jina la mtu.... watu wakisema huyo hawamjui je... !!!!
Let it be Mnauye or Nnauye means da same thing 'Msirudi' brada
AAliyekuwa Waziri wa Habari Mh. Nape Moses Nnauye amekuwa akipost maneno tofauti kila siku baada ya kutenguliwa kwake.
Nape alisahau kama yuko Serikalini na kuna msemaji mkuu alikuwa bado anaota enzi za Msemaji wa Chama ambapo alikuwa na mamlaka ya kuikosoa Serikali na kuitolea maagizo na matamko.
Kwa maoni yangu brother Nape akae kimya atulie huenda angetafutiwa nafasi huko kwenye Chama ndo kunamfaa zaidi kuliko Serikalini. Asitake kuchafua hali ya hewa ya nchi, kuharibu Amani yetu na Kutaka kukivuruga Chama Tawala ambacho anasema alikipigania kwa Siku 28 huku akilala porini Kisa Uwaziri. Awe na Subira kwani Tumefundishwa na Babu zetu 'Subira yavuta heri '. Akamuulize mama Kilango.
AAliyekuwa Waziri wa Habari Mh. Nape Moses Nnauye amekuwa akipost maneno tofauti kila siku baada ya kutenguliwa kwake.
Nape alisahau kama yuko Serikalini na kuna msemaji mkuu alikuwa bado anaota enzi za Msemaji wa Chama ambapo alikuwa na mamlaka ya kuikosoa Serikali na kuitolea maagizo na matamko.
Kwa maoni yangu brother Nape akae kimya atulie huenda angetafutiwa nafasi huko kwenye Chama ndo kunamfaa zaidi kuliko Serikalini. Asitake kuchafua hali ya hewa ya nchi, kuharibu Amani yetu na Kutaka kukivuruga Chama Tawala ambacho anasema alikipigania kwa Siku 28 huku akilala porini Kisa Uwaziri. Awe na Subira kwani Tumefundishwa na Babu zetu 'Subira yavuta heri '. Akamuulize mama Kilango.
Aliwahi kuwaita Mawaziri Mizigo alipokuwa katibu Mwenezi TaifaAkome,alimtukana sana el
Kujipemdekeza kwingine bwana ! Hadi mnatia kinyaa naiona ndio slogan ya team koloOK poa nimekusoma Mrs Bashite mtarajiwa najua unampenda toto la Kolomije.