Nape amvaa Dr. Slaa

vipi ile mikataba 20 ya gesi iliyosainiwa na jk na wachina ndani ya dakika 1 tulipewa masharti gani?

Hapo lazima apate kigugumizi au mwishowe akibanwa sana atakuambia huoni raisi wetu alitunukiwa u proffesa kwa niaba ya watanzani?
 
ameambiwa lazima nchi ipitishe sheria ya ushoga chadema ikichukua nchi
 
Marekani haina nia nzuri na mtu yoyote
 
nape na mangula wanabweka kama mbwa koko kwa fisadi nguli lowasa wakimaliza wanajivicha.Leo wanamvaa slaa
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

hawezi mshinda lohasa kamwe.
 
.nape atuwekee hadharani kila kitu ili tujue. nje ya hapo ni hatari kwa uhusiano wetu wa nchi yetu na hizo mchi.
 
mwaka huu tutasikia mengi sana wakizushiwa upinzani hisusani CHADEMA. lengo ni moja tu kuhakikisha ccm inashinda kwa njia yoyote ile.
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
Mbona tunakujua huo ni mchezo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…