TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
acha uongo kasemea wapi weka sosi
huku sio CHADEMA, watu wanapewa maagizo na wanatii, maisha yanaendelea..!!Usanii mtupu...
huku sio CHADEMA, watu wanapewa maagizo na wanatii, maisha yanaendelea..!!
Aweke sosi kwani umesikia ni chipsi funga hizi..?acha uongo kasemea wapi weka sosi
Duh basi subirini chance nyingine.,ndo hivyo tena Mzee ameshasitisha hiyo habari..kama vipi mtumieni emails.kesho sisi wazalendo wote wa manyara tulikuwa tunataka kuandamana kwenda kwa Lowasa kumwomba asigombee uraisi kwa sababu ikulu hakuna wodi wagonjwa hatutapokelewa tena