Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?Nape ni mbumbumbu wa uongozi kwani kitendo cha kumshambulia Lowassa kuwa alifanya nini wakati akiwa kiongozi ni kukubaliana na Lowassa kuwa ni kweli Kikwete hana maamuzi au maono ya kutatua tatizo la ajira bila Lowassa. Nape uwe na data za kukusapoti si kukurupuka tu msema hovyo wa magamba.
Unafiki wa Nape ni upi?Nape ni mnafiki, kesho atasimama kumsifia Lowassa jukwaani Arumeru
Mkuu una hakika kwamba wote wanaokushambulia ni wapinzani?... Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Lowasa alisema ataendeleza mapambano, je ueamua kumwekea kigingi?lakini Nae achana na statistics zenu za kupika, je sio kweli kwamba vijana ni bomu, ivi kuna hiaji lolote kubwa la vijana kwa sasa tofauti na ajira?au kwa kuwa kasema Lowassa ndio imekuwa ishu. Majibu unayotoa ndio suluhishi la tatizo kwa kuwa moyo wanko unakiri kuwepo kwa tataizo. Nape mheshimu sana Lowasa, amekuumiza mara chungu mzima, unapenda akumalizie kabisa, hata ushawishi wako mdogo usiwepo tena, yaani akutie kwenye mfuko wa shati badala ya mfuko wa nyuma kama iivyo sasaNilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Nape ni mbumbumbu wa uongozi kwani kitendo cha kumshambulia Lowassa kuwa alifanya nini wakati akiwa kiongozi ni kukubaliana na Lowassa kuwa ni kweli Kikwete hana maamuzi au maono ya kutatua tatizo la ajira bila Lowassa. Nape uwe na data za kukusapoti si kukurupuka tu msema hovyo wa magamba.
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Hivi Nape, umeona wapi Mafisadi wakaacha Ufisadi kwasababu tu mtu kama wewe umekwenda kuongea kwenye Chombo cha habari na kuwataka waache Ufisadi!Unafiki wa Nape ni upi?
Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....
Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....
Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
Nape nakubaliana na wewe kabisa si vizuri hata kidogo ukawaita vijana kuwa wao ni bomi, ili mradi tu anaeneza hii sumu aweze kupata sapoti ya vijana kwa ajili ya malengo yake binafsi.Ndugu yangu Nape kuhusu tatizo la ajira sidhani kama ni kweli kuwa kenya wana matatizo kuliko tanzania, usisahau kuwa kenya ina viwanda vingi kuliko tanzania kwa msingi huo vyanzo vya ajira kenya ni vingi kuliko tanzaniaNilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Wewe nape ni gamba la kufa mtu au kwavile wewe unakazi hapo ccm unafikiri na sisi tunatembelea v8 Kama weweNilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Nape nakubaliana na wewe kabisa si vizuri hata kidogo ukawaita vijana kuwa wao ni bomi, ili mradi tu anaeneza hii sumu aweze kupata sapoti ya vijana kwa ajili ya malengo yake binafsi.Ndugu yangu Nape kuhusu tatizo la ajira sidhani kama ni kweli kuwa kenya wana matatizo kuliko tanzania, usisahau kuwa kenya ina viwanda vingi kuliko tanzania kwa msingi huo vyanzo vya ajira kenya ni vingi kuliko tanzania
Nape ni mnafiki, kesho atasimama kumsifia Lowassa jukwaani Arumeru