Grand Jury
Member
- May 8, 2014
- 73
- 16
sijaelewa vizuri, eti nape na yule mama ilikuwaje?
imeandikwa siku za mwisho kila goti lita pigwa na kila ulimi utakili. Maccm yanatapatapa sasawanapima upepo wote ni wale wale tu.wanafanya tafiti kisiasa ili kuway out the best option ili kikinusuru chama
imeandikwa siku za mwisho kila goti lita pigwa na kila ulimi utakili. Maccm yanatapatapa sasa
sijaelewa vizuri, eti nape na yule mama ilikuwaje?
Huwa nashindwa kuelewa kabisa kauli tata za CCM na serikali yake! Hawajui wanachokiamini na kukihubiri!