kadendu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 643
- 497
Sijaona, kama kinachoendelea kati ya akina-Kinana na serikali yake. Ni sawa na kumnanga mkeo hadharani.
INA maana kinena anaianika ya mama watoto teh.
Sijaona, kama kinachoendelea kati ya akina-Kinana na serikali yake. Ni sawa na kumnanga mkeo hadharani.
Baba yako ndiyo mke kama ulikuwa hujui.kwa hiyo kikwete ndiyo mke au mme maana kinana juzi alisema serikali ya ccm ni dhaifu...
Magazeti yakufungia vitumbua bavicha na ukawa kwao ndiyo gazeti la habari.
sijawahi kuimini habari yoyote ya tanzania daima ni gazeti la udaku

Fallacy!sijawahi kuimini habari yoyote ya tanzania daima ni gazeti la udaku