hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Mbunge wa jimbo la mtama Nape Nnauye amemsifu rais Magufuli na kusema kwamba Magufuli hana urafiki kwenye kazi wala hachekicheki linapokuja suala lenye maslahi na wananchi.
Nape ameeleza kuwa utawala wa awamu ya Tano umedhibiti rushwa ambayo ilikuwa kansa ktk nchi yetu na sasa kuna haki na heshima na uwajibikaji katika nchi yetu hususani ofisi za umma.
Nape ameyasema hayo wakati anamnadi mgombea ubunge jimbo la buyungu kupitia CCM Eng. Chiza Katika mtaa wa mbizi mjini kakonko.