CCM chalia rafu za makada, mahasimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.
Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

William Malecela wangempa cheo cha Juu angeweza kuwaingiza mastaa wengi tu chamani kwa vile anamnato kwao.
Huyu Le mutuz ndio anafaa kuwa katibu mwenezi wa Chama maana anajua kuhangaika kila kona ya jiji kutafuta wanachama mastaa wote wanaojulikana. Anaonekana kwenda sambamba na sera za Rais Kikwete kuwapa nafasi wanawake. Ila kwa staili hii amefanikiwa? Nape anarandaranda kwenye magari ya kifahari siku zote bila kujua hawa wanapatikana wapi. Alaaa!
Angemalizana na magamba kabla hajaanzisha vita mpya, manake hatujaona akimkabidhi m-ccm yeyote zile barua alizodai mukama alikwisha ziandika kutekeleza dhana ya kuwavua gamba ambao wangegoma kujivua kwa hiyari yao pindi muda ukifika, (ambao umeshapita)
CCM chalia rafu za makada, mahasimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.
Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Ahamie Chadema na aanze kutafuta wapi atakakogombea ubunge uchaguzi Mkuu ujao