Nape amevurugika kabisa na makada wake wanavyoisambaratisha CCM

napeeee%281%29.jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Mafisadi je? Hawafahamu kwa majina? mbona miezi mitatu sasa inakuwa miaka mitatu? Muda utakapowadia hata hao anaowaahidi kuwataja hatotimiza ahadi hiyo kwani bado wanadaiwa ahadi nyingi sana ambazo bado hawakuzitekeleza!!
 
napeeee%281%29.jpg
582825_157278851074213_895578751_n.jpg

Ahamie Chadema na aanze kutafuta wapi atakakogombea ubunge uchaguzi Mkuu ujao
 
William Malecela wangempa cheo cha Juu angeweza kuwaingiza mastaa wengi tu chamani kwa vile anamnato kwao.

MTOTO.jpg

Huyu Le mutuz ndio anafaa kuwa katibu mwenezi wa Chama maana anajua kuhangaika kila kona ya jiji kutafuta wanachama mastaa wote wanaojulikana. Anaonekana kwenda sambamba na sera za Rais Kikwete kuwapa nafasi wanawake. Ila kwa staili hii amefanikiwa? Nape anarandaranda kwenye magari ya kifahari siku zote bila kujua hawa wanapatikana wapi. Alaaa!
 
Nape ni kama chura mtoni...macho yote yale na kelele zote zile, bado hajaweza kumzuia ng'ombe kunywa maji.
 
Bado kidogo ataicheza ngoma ya komredi Eddo, hajiulizi kwanini Eddo kaikacha bajeti yupo mtoni anazungukia balozi
Huku Membe presha ikimpanda kila uchwao
 
napeeee(1).jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Kati ya Nape na hao anawasema ni nani mwenye propaganda?????????????????? Hizi si ndo propaganda zenyewe jamani. CCM mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiri??????????? Tumieni basi goti kufikiri kama na masaburi imeshindikana

jaman juz tu membe kasema anakundi la watu wanaomchafua then atawataja kwa majina leo Ńape anacopy na kupesti au tuamini kuwa kwa ss ndio sera ya chama!!
 
Mwacheni aje na kauli mpya na mbinu mpya za kukiua chama chake, Nape endelea kutapatapa tu ipo siku utajitambua'
 
TBC jana ilimuonyesha akitoa maoni juu ya ajali, the way he looks was like a lost man from the Amazon jungle, no words to sho sympathy or concern. Hadi anacheka?................
TBC iz another living HELL in Tanzania!
 
William Malecela wangempa cheo cha Juu angeweza kuwaingiza mastaa wengi tu chamani kwa vile anamnato kwao.

MTOTO.jpg

Huyu Le mutuz ndio anafaa kuwa katibu mwenezi wa Chama maana anajua kuhangaika kila kona ya jiji kutafuta wanachama mastaa wote wanaojulikana. Anaonekana kwenda sambamba na sera za Rais Kikwete kuwapa nafasi wanawake. Ila kwa staili hii amefanikiwa? Nape anarandaranda kwenye magari ya kifahari siku zote bila kujua hawa wanapatikana wapi. Alaaa!

Teh teh teh...Candid Scope, umeamua leo...nimeanza kwa kucheka bila kutaka. Ila angalia wachungaji wengine wanaishia kuwala kondoo wanaowachunga bila huruma
 
On a serious note, siasa zetu zimeanza kukosa watu makini na kwa sasa hivi zinaenda bila umakini. Pengine kuna sababu ya kuangalia namna tunavyowapata viongozi wetu wa kisiasa.
 
Angemalizana na magamba kabla hajaanzisha vita mpya, manake hatujaona akimkabidhi m-ccm yeyote zile barua alizodai mukama alikwisha ziandika kutekeleza dhana ya kuwavua gamba ambao wangegoma kujivua kwa hiyari yao pindi muda ukifika, (ambao umeshapita)

Huyo jamaa ni debe tupu haliishi kupiga kelele.
 
Tumwache Nape amalize muda wake wa uteuzi, nawahakikishieni kuwa mwaka 2015 Nape atasahauliwa katika medani za kisiasa, katika nchi, vyombo vya habari, katika mitandao ya kijamii. Na chama chake kitamfukuzulia mbali kwa maelezo kuwa amekiua chake Sisiemu.
 
hata 2015 hatafika nina wasiwasi watamtafutia kashfa muda si mrefu bana chezea CCM wewe... sera ukiingia kula... muulize baba Riz1 kaingia na nyumba moja anaondoka na Mlimani City aliojenga bagamoyo...
 
napeeee(1).jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Nape amekuwa a typical spin doctor kama huko nchi za magharibi wanavyowaita wasemaji wao ambao kazi yao kubwa kusambaza habari in a calculated manner ili kuficha habari yeneywe! poor him Nape hana ubavu wa kuwataja wala kuwafanya chochote hao perceived mahasimu wa CCM; hatujasahau alivyoshadidia mkakati wa kujivua gamba na sasa ni mwaka na ushei hajatekeleza na hatoi maelezo kwa nini hajafanya lolote, nape is simply a demagogue.
 
Huyu jamaa kwa kuwashwa washwa tu hajambo,wataje basi ili ukilaze vyema mahali pema peponi gamba lenu....
 
Adui mkubwa atakayesambaratisha chama cha magamba na serikali yake ni yule aliyewapa ushsuri wa kuwafukuza kazi madaktari; kwani kwa kufanya hivyo amewafitinisha chama cha magamba na wananchi wapiga kura ambao wengi wao ndio wanaoteseka kwa kukosa huduma kutoka kwa hao madaktari!! Chama cha magamba kimeingia mkenge kwa kuwafukuza kazi madaktari!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom