Nape amevurugika kabisa na makada wake wanavyoisambaratisha CCM

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
napeeee(1).jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
 
wafilie mbali huko magamba hawa..hawana faida na Tanganyika yetu...:disapointed:
 
hivi Nape bado ni Mkuu wa Walaya ama alishaachia ngazi?, kama bado ana cheo hicho bac ni dhahiri hicho cheo akifahi na wala hakina maana yoyote.
 
napeeee(1).jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Angemalizana na magamba kabla hajaanzisha vita mpya, manake hatujaona akimkabidhi m-ccm yeyote zile barua alizodai mukama alikwisha ziandika kutekeleza dhana ya kuwavua gamba ambao wangegoma kujivua kwa hiyari yao pindi muda ukifika, (ambao umeshapita)
 
Ameruka ruka weee sasa amenasa!

Ha ha ha ha ha! Kweli Mkuu. Karukaruka sana kumbe wazee wenye chama lao wanamlia timing tu - ndege aingie tunduni. Keshaingiza kichwa na kiwiliwili chote masaburi tu yamebaki nje. Mchezo ni kama umeisha.
 
Wala wasitafute mchawi wao manake, matendo ambayo wao wenyewe wanawafanyia watz ndo yanayokifanya chama chao kisambaratike!!!!!!
 
napeeee(1).jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Nape mkuu wangu ulifungua mwenyewe mwanya wa kuzungumzwa yaliyo ndani ya CCM. Uliahidi kuwavua watu magamba na hata ktk vikao vyenu lidiriki kuwataja lakini hatujaona mkichukua hatua yoyote. Wengine tumeenda deep zaidi na kujua undani wa chama hiki na kwa nini mlishindwa. Kubali matokeo mkuu wangu kuna mengine mazito kwako huwawezi..
 
Ha ha ha ha ha! Kweli Mkuu. Karukaruka sana kumbe wazee wenye chama lao wanamlia timing tu - ndege aingie tunduni. Keshaingiza kichwa na kiwiliwili chote masaburi tu yamebaki nje. Mchezo ni kama umeisha.

Dudus@ Unatuvunja mbavu na mwenzako Kilembwe. Kikulacho kinguoni mwako. Wanapoteza muda mwingi na Chadema wakati wanaokisambaratisha chama ni wanachama wenyewe. Wangeshikamana Chadema wangeingia wapi? Wenyewe wameacha mwanya kwa makusudi lazima watafutaji watapata nafasi ya kuutumia mwanya waliouandaa wenyewe.
 
hivi Nape bado ni Mkuu wa Walaya ama alishaachia ngazi?, kama bado ana cheo hicho bac ni dhahiri hicho cheo akifahi na wala hakina maana yoyote.

nafasi aliyonayo ndani ya ccm ni kubwa kuliko ya uwaziri
 
Mimi nitakuwa tofauti kidogo na wengi kwani anachokifanya Nape ndicho nchi ikitakacho nacho ni kuwafichua watu wote walio na urafiki na maadui wa taifa hili UJINGA UMASIKINI NA MARADHI. Vita yake dhidi ya wahalifu wa taratibu za kiufundi kuturudishia UJINGA UMASIKINI NA MARADHI ni viumbe wasiostahiki kuwamo miongoni mwetu. Tanzania ni TAIFA changa lenye umri wa miaka 50 linahitaji kuwa na vipaumbele vichache ili kujenga msingi wa uchumi imara kutokana rasilimali za asili na watu wake kwa kutumia vipawa vyao. uDHAIFU wa chama chenye dola dhidi ya taratibu za kiuongozi na maadili ni hatari kwa TAIFA. Go Nape Go.

napeeee%281%29.jpg

CCM chalia rafu za makada, mahasimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.

Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
 
Dudus@ Unatuvunja mbavu na mwenzako Kilembwe. Kikulacho kinguoni mwako. Wanapoteza muda mwingi na Chadema wakati wanaokisambaratisha chama ni wanachama wenyewe. Wangeshikamana Chadema wangeingia wapi? Wenyewe wameacha mwanya kwa makusudi lazima watafutaji watapata nafasi ya kuutumia mwanya waliouandaa wenyewe.

Eti kuna makundi katika chama ambacho kinapaswa kuwa na ukomavu lakini kinachojiri ni uozo na kukosa mshikamano.
Nani mchawi wa CCM kama sio wao wenyewe?
 
ngoja nikusaidie kuwataja we nape acha woga si useme tu,,,, ni LI-MWIGULU
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom