Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
CCM chalia rafu za makada, mahasimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.
Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Ameruka ruka weee sasa amenasa!
Nape mkuu wangu ulifungua mwenyewe mwanya wa kuzungumzwa yaliyo ndani ya CCM. Uliahidi kuwavua watu magamba na hata ktk vikao vyenu lidiriki kuwataja lakini hatujaona mkichukua hatua yoyote. Wengine tumeenda deep zaidi na kujua undani wa chama hiki na kwa nini mlishindwa. Kubali matokeo mkuu wangu kuna mengine mazito kwako huwawezi..
CCM chalia rafu za makada, mahasimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.
Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Ha ha ha ha ha! Kweli Mkuu. Karukaruka sana kumbe wazee wenye chama lao wanamlia timing tu - ndege aingie tunduni. Keshaingiza kichwa na kiwiliwili chote masaburi tu yamebaki nje. Mchezo ni kama umeisha.
hivi Nape bado ni Mkuu wa Walaya ama alishaachia ngazi?, kama bado ana cheo hicho bac ni dhahiri hicho cheo akifahi na wala hakina maana yoyote.
La kuvunda halina ubani
CCM chalia rafu za makada, mahasimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitihada ili kuhakikisha chama hicho kinasambaratika na kwamba siku chache zijazo kitawataja kwa majina hadharani.
Kadhalika, chama hicho kimesema hakuna mgogoro miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM na kwamba kinachosemwa mitaani ni sehemu ya propaganda zinazoenezwa na kundi la watu hao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari na kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitahidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Dudus@ Unatuvunja mbavu na mwenzako Kilembwe. Kikulacho kinguoni mwako. Wanapoteza muda mwingi na Chadema wakati wanaokisambaratisha chama ni wanachama wenyewe. Wangeshikamana Chadema wangeingia wapi? Wenyewe wameacha mwanya kwa makusudi lazima watafutaji watapata nafasi ya kuutumia mwanya waliouandaa wenyewe.