Nape amefuata nini udom?

Nape amefuata nini udom?

JF inazidi kupoteza muelekeo kwa ajili ya baadhi ya members kama huyu aliyeanzisha hii thread, sasa Nape kwenda UDOM nayo imekua ishu mpaka iletwe humu na watu kuijadili????
 
hata mimi namshangaa huyu msomi wa UDOM kumuona Nape Udom na kuifanya iwe hoja ya kujadiliwa katika jukwaa la wakubwa kama hili.....dogo acha woga.....unayemuhofia hana chochote cha kukutisha....usipende kujitisha bila sababu, actuali mie ningemkuta ( .....) nisingeshtuka sioni impact yake anyway

mix with yours
 
Back
Top Bottom