Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Hivi ni 'kamdhulumu' ama 'hajatekeleza ahadi yake'?......Hii nimeipata kutoka kwenye fainali za Maisha plus kuwa Nape ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi msimu uliopita alitoa ahadi kwa Mshindi,ambayo mpaka leo anampiga chenga kumpa zawadi hiyo
. Kweli ahadi za Viongozi wa CCM hazitekelezeki.
Maelezo zaidi...
KWENYE FAINALI ZA MAISHA PLUS leo Tar 18/05/2014...
MASOUD KIPANYA alimuuliza "ile zawadi" uliyoahidiwa na mgeni rasmi wa mwaka jana ulishapewa! Dada aliomba kupitia TBC kuwa "Mh.Nape ile zawadi uliyoniahidi mbona hujaitekeleza! Nimesumbuka sana ofisini kwako nakuta gari lako ila wasaidizi wako wananiambia haupo" Tehe tehe teheeeee!!!
Nnape Nnauye; Ritz; Faiza Foxy.
Hivi ni 'kamdhulumu' ama 'hajatekeleza ahadi yake'?......
Binafsi nimemsikia huyo binti sijamsikia akizungumza suala la kudhulumiwa, bali kakumbushia ahadi aliyopewa na Nape....Na sina uhakika kama ukomo wa kutoa hiyo zawadi ulikuwepo ama la....
Siasa zisitupumbaze tukakosa hata ufahamu wa kutofautisha maana ya kudhulumu na kutotekeleza ahadi kwa wakati....
Wewe kauzu kweli unajua maana ya kudhulumu hivi Lema alivyotoa ahadi atajenga Machinga Complex mbili na Hospital ya kina mama amewadhulumu wapiga kura wake?Hii nimeipata kutoka kwenye fainali za Maisha plus kuwa Nape ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi msimu uliopita alitoa ahadi kwa Mshindi,ambayo mpaka leo anampiga chenga kumpa zawadi hiyo
. Kweli ahadi za Viongozi wa CCM hazitekelezeki.
Maelezo zaidi...
KWENYE FAINALI ZA MAISHA PLUS leo Tar 18/05/2014...
MASOUD KIPANYA alimuuliza "ile zawadi" uliyoahidiwa na mgeni rasmi wa mwaka jana ulishapewa! Dada aliomba kupitia TBC kuwa "Mh.Nape ile zawadi uliyoniahidi mbona hujaitekeleza! Nimesumbuka sana ofisini kwako nakuta gari lako ila wasaidizi wako wananiambia haupo" Tehe tehe teheeeee!!!
Nnape Nnauye; Ritz; Faiza Foxy.
=======
UPDATE:
Kwa mujibu wa Nape, yeye hakuwepo kwny fainali za Maisha Plus
Mshauri akalipe hyo zawadi acha porojo wewe au mnataka kumfanyizia kama Juliana Shonza?
Kwani 'kudhulumu' maana yake nini Chifu?.....Hebu tuwekane sawa hapo....Kaka alimdhulumu/Hajatimiza AHADI yote sawa amemzungusha saaaana. Haiwezekani kila akienda Lumumba anazungushwa mno.
Wewe kauzu kweli unajua maana ya kudhulumu hivi Lema alivyotoa ahadi atajenga Machinga Complex mbili na Hospital ya kina mama amewadhulumu wapiga kura wake?
Hivi ni 'kamdhulumu' ama 'hajatekeleza ahadi yake'?......
Binafsi nimemsikia huyo binti sijamsikia akizungumza suala la kudhulumiwa, bali kakumbushia ahadi aliyopewa na Nape....Na sina uhakika kama ukomo wa kutoa hiyo zawadi ulikuwepo ama la....
Siasa zisitupumbaze tukakosa hata ufahamu wa kutofautisha maana ya kudhulumu na kutotekeleza ahadi kwa wakati....
Sijakuelewa......Ahadi ni dem babu alimiambia akalipe tu
Hiyo zawadi ni ipi na kamdhulumu vipi? Mbona hii habari imekaa kigongo-gongo na si ki tusker tusker.
Kwani ameanza leo?
Mkuu umemaliza kila kitu.Wewe kauzu kweli unajua maana ya kudhulumu hivi Lema alivyotoa ahadi atajenga Machinga Complex mbili na Hospital ya kina mama amewadhulumu wapiga kura wake?
Bavicha wanatapatapa hovyo hawajuhi pakushika kila pumba wakikutana nao wanaleta JF...hivi John Mnyika kaishaleta maji Ubungo kama alivyohaidi?Bavicha muache Uongo hakuna aliye dhulumiwa bali amecheleweshewa ahadi.
Gongo mbaya sana.
Nakala ya uzi huu iwafikie wanaccm wote popote walipo .
Nape badae atampigia simu wakutane Guest, kwani CCM wana dogo hawa?
Dada akikubali atapewa zaidi ya hiyo zawadi, na akishaliwa na kuwa mwanaccm bac ataukwaa na U-DC kabisa.