Nape alisha lainishwa na na mapacha watatu, ndo sababu ya kupoa kama maji ya mtungi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape alisha lainishwa na na mapacha watatu, ndo sababu ya kupoa kama maji ya mtungi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jun 12, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Kitendo cha Nape kuwa kimya na kupoa kama maji ya mtungini na kuacha kabisa kuzungumzia wanao takiwa kujivua gamba ndani ya CCM na siku 90 kimetokana na yeye kulainiswa na Mapacha watatu, Na kwa sasa nape na Mapacha watatu ni kitu kimoja. Ina daiwa Nape alikutana na mmoja wa mapacha watatu jijini Dar yapata mwezi sasa na kuamua kuzika tofauti zao, Ingawa haifahamiki Nape ailahidiwa kitu gani na hao watuhumiwa wakuu. Na katika mazungumzo na mikakati yao Nape ailielekezwa kupeleka Mashambulizi ya kujivua gamba kwa Watumishi wa Serkari na Vilevile kwa Cahama cha CHADEMA. Kabla ya kulainishwa inaelezwa aliambiwa na yeye ajiandae kwani ni gamba ndani ya CCM kutokana na kuanzisha Chama ndani ya Chama, Inaelezwa Nape aliogopa sana kuukosa Ukatibu mwenezi, Ikabdi aamue yaishe.
   
Loading...