Nape akubali ccm ni dhaifu

wabunge wa ccm wakiipitisha hii bajeti basi na wao wote watakua dhaifu
 
enzi za mwalimu hawa viboko 20 wakati wa kuingia na 20 wakati wa kutoka akawaonyeshe hawara zake
 
mzee EL alishasema siku nyingi kuwa ccm tuna OMBWE LA UONGOZI hivyo Mnyika alikuwa anakumbusha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…