mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
wabunge wa ccm wakiipitisha hii bajeti basi na wao wote watakua dhaifu
Msipomtaja Nape hamlali
hii siyo ya jukwaa la siasa
View attachment 57181Msipomtaja Nape hamlali
enzi za mwalimu hawa viboko 20 wakati wa kuingia na 20 wakati wa kutoka akawaonyeshe hawara zakekiongozi kukutaja ni muhimu, uwezi kwenda kumuomba mungu akusaidie,na akuepushe na majanga ukaacha kumtaja shetani.kumbuka wewe ni msemaji wa wadhaifu lazima tukutaje,tutakuacha endapo utastafu cheo chochote ndani ya wadhaifu kama tulivyo muacha kiboko yako yusufu makamba
Vipi ziaara za kutuliza upepo wa M4C zimefikia wapi?
Vipi ziaara za kutuliza upepo wa M4C zimefikia wapi?
:yawn:![]()