Mpaka 2020 atakuwa amejitambua vizuri
Huku ndiko wanakochota maji baadhi ya wapiga kura wangu! Sasa mtanielewa kwanini napiga kelele na maji-Nape
Ukitafakari kauli hii ya nape,Ni kuwa amekubaliana na upinzani kuwa,Ccm hawajalitendea taifa haki kwenye maendeleo toka uhuru!
Watakiri mmoja mmoja,Ni swala la muda tu!
Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!

Aisee yaani akaacha kuhudhuria hata kuagwa kwa vijana wake waliouawa kikatiliKero kubwa na muhimu ni hostel za UDSM!
Usishangae akaenda upinzani 2020Mpaka 2020 atakuwa amejitambua vizuri
Barafuyamoto;Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
Wazazi wanapojinyima hata kwenye mlo mzuri na kuhakikiisha watoto wao wanawapeleka shule na kuwanunulia vifaa vya elimu utawaona wajinga.Kero kubwa na muhimu ni hostel za UDSM!
Na hicho ndio kinachotuumiza wengi, CCM tumeichoka ila wanaotaka kuwa mbadala ndio wamechoka zaidi.Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
CCM ni adui wa taifa hiliAisee nape alikuwa kwenye usingizi mzito sana, sasa ndiyo ameanza kuona vizuri mapungufu ya ccm