Nape akihutubia umati mkubwa

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,072
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.
 

Attachments

  • Nape na umati..jpg
    Nape na umati..jpg
    26.4 KB · Views: 2,145
Mbona haonekani vizuri bana!! Unamsingizia Katibu wetu mwenezi bana...

Ati Katibu ni wewe?:A S shade:
 
aiseee bonge la nyomiiiiiiiiiiii
uwanja umejaa ile mbaya...
big up nape
kidumu chama cha kijani na njano
 
Kama mimi nape natangaza maamuzi magumu kabla hajazidi kuumbuka
by da way boooonge ya nyomi mpaka uwanja ukabaki naskia watu walikosa hewa..!
 
Hapo ni Ilula km 70 toka iringa mjini siku hiyo Jembe Zito Zubery ,Msigwa Mch,Ole milya walikuwa iringa mjin lakini makundi ya watu waliacha mkutano wa nape ilula wakaja iringa mjini kwenye mkutano wa CDM

halafu anatisha watu eti alifunika iringa. Wakati mikutano mingine alifanyia sokoni ili wafanya biashara waonekane wamejaza uwanja kumbe watu wako kwenye biashara zao.
 
Back
Top Bottom