Nape akihutubia umati mkubwa

Huyu Nape akili zake sijui zikoje..........Unafanyaje mkutano Soko Kuu la Mji wa Iringa?? ili uweme watu wamekuja wengi?
Katika hali ya kawaida sokoni huwa kuna watu wengi......

This guy is begining to act like MUKAMA.....the end of the slow beginning!!!:A S 112:

I do not know kama ndo strategy yake au vp............. alipokuja moshi alifanyia mkutano stendi ya mabasi.... i was really puzzled...........!!!!!!!!!!
 
Hebu linganisha mwenyewe kati ya umati wa ccm na CDM. Na hapo bado hawajasombwa na mafuso wala kupewa posho.
ao.jpg
chadema+10.jpg




2015 Tanzania itakuwa hivi:
chadema1.jpg
 
Pale njiani baina ya soko la zamani na jipya mkabala na kituo cha polisi? ama keli ukikonda vaa nguo nyembamba. Si wana uwanja wa kumbukumbu ya Samora walioupora kwa wananchi, kwa nini asiende huko. Hapa ananikumbusha enzi za kina profesa Singira kutafuta watu kwa kuanzisha genge sokoni. Ptuuu heshima yenu imeshuka, hao wenzako wamekuingiza mjini kwa bei pooooooooooooooooooooooooooa
 
Wee acha tu. Unaweza ukamuona mtu ana macho mawili kumbe makengeza. Msimlaumu bure. Makengeza yanaonyesha double double. Sio kosa lake.
 
Pale njiani baina ya soko la zamani na jipya mkabala na kituo cha polisi? ama keli ukikonda vaa nguo nyembamba. Si wana uwanja wa kumbukumbu ya Samora walioupora kwa wananchi, kwa nini asiende huko. Hapa ananikumbusha enzi za kina profesa Singira kutafuta watu kwa kuanzisha genge sokoni. Ptuuu heshima yenu imeshuka, hao wenzako wamekuingiza mjini kwa bei pooooooooooooooooooooooooooa

NAPE atakuja kutamba hapa kwamba mkutano ulifanikiwa watu walikuja wengi wakati hao watu ukiondoa wenye outfit za njano,wengi wao walikuja sokoni kupata mahitaji wakasikia kuna mtu anapayuka wakawa wanamshangaa
 
Hii ni Dalili ya Uwenda wazimu.....na ukichaa...
Iringa: amefanya mkutano sokoni.....(machizi nao wanapenda sokoni sana)
Moshi: Alifanya mkutano stand kuu ya mabasi (machizi nao wanapenda sana stand)

Huyu kijana hovyo kabisa.:A S 112::A S 112:
 
Mbona unaleta habari za uongo kijana? Kweli Nape ana wanyima usingizi.
Nape anachukua chake mapema ziara hii hatakosa Hamsini Milioni baada ya kumwachia Kama ishirini Mzee Mkama. Hapa ni kuhalalisha matumizi ya hela hakuna wa kumhamasisha.
 
Kwa 'wingi huu' hata darasa lingewatoshea- subiri waje watabiri wa chaguzi watakuambia hapo pana wapiga kura siyo chini ya mia tano
 
anaweza kuja hapa na akakana kuwa sie yeye maana yule jamaa kwa kuruka ndio mwenyewe. Alishawah kukana id yake then baadae unaendelea kuitumia bila aibu.
 
Jamani, Nape ni mtu mdogo sana katika safu ya ccm, akichukua mwenyekiti, katibu mkuu na baadhi ya mawaziri, watu watajazana mpaka hewa ikosekane, hata atakaekua anahutubia anaweza kuanguka. CHADEMA mnakusanya watu wengi kwa vile mnapeleka ile first 11 yenu. ngojeni watu wakishawachoka ccm nayo itatoa first 11 yake uone match itakavyokuwa kali, mtatafutana, pa kukimbilia mtakosa, msiseme sana.
 
Back
Top Bottom