Nape ajitokeze kumkemea Membe

Nape ajitokeze kumkemea Membe

Joined
Feb 27, 2015
Posts
35
Reaction score
35
Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.

1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki kongamano la vijana (CHINA-AFRIKA) lililoandaliwa na UVCCM na CPC Youth League. Muhusika wa hii idara ni Mama Asha Rose Migiro linalofanyika Ngurudoto.

Hiki ni kinyume kabisa na utaratibu, sheria, kanuni na katiba ya CCM. Tunataka Nape ajitokeze kulikemea hili.

2. Kesho Jumapili Membe anakuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule za Tumaini kule Tabata.

Pia anakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 15 ya Tamasha za nyimbo za injili linaloandaliwa na Msama. Huko kote Membe amehonga jumla ya Milioni 50 ili aalikwe.

Huku ni kuanza kampeni kabla ya wakati kwani wenye akili timamu tunajiuliza kwani ahonge ili awe mgeni rasmi haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?

Narudia tena, Kutaka kusikia domo la Nape likifunguka kukemea kitendo hichi cha Membe kuanza kampeni za urais kabla ya wakati.

Tofauti na hapo tutajua Nape , CCM kwa ujumla tayari wana mgombea wao wa urais na wanataka kuwachagulia kwa nguvu Membe awe Rais.
 
Ahahahahahhaaaa nape na membe wote wapo gereza moja nani atamwambia mwenzie kua nje kapita afande nani? Yani hao hawana tofauti kati ya jeneza kaburi na maiti wote wamo shimo moja hao.ila nguvu ya umma itawaumbua hao machizi wawili.
 
Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.

1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki kongamano la vijana (CHINA-AFRIKA) lililoandaliwa na UVCCM na CPC Youth League. Muhusika wa hii idara ni Mama Asha Rose Migiro linalofanyika Ngurudoto.

Hiki ni kinyume kabisa na utaratibu, sheria, kanuni na katiba ya CCM. Tunataka Nape ajitokeze kulikemea hili.

2. Kesho Jumapili Membe anakuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule za Tumaini kule Tabata.

Pia anakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 15 ya Tamasha za nyimbo za injili linaloandaliwa na Msama. Huko kote Membe amehonga jumla ya Milioni 50 ili aalikwe.

Huku ni kuanza kampeni kabla ya wakati kwani wenye akili timamu tunajiuliza kwani ahonge ili awe mgeni rasmi haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?

Narudia tena, Kutaka kusikia domo la Nape likifunguka kukemea kitendo hichi cha Membe kuanza kampeni za urais kabla ya wakati.

Tofauti na hapo tutajua Nape , CCM kwa ujumla tayari wana mgombea wao wa urais na wanataka kuwachagulia kwa nguvu Membe awe Rais.

Nape hawezi kufanya hivyo kwa sababu Membe ndiye chaguo lake na atamuachia jimbo la Mtama!!
 
Hata kuku wanajua kuwa Nape ni mwenezi wa membe na Genge Lao na sio CCM
 
1: Nape ni team Membe...so hawezi sema lolote juu ya Membe...

2: Membe na Nape wamekubaliana, Membe agombee Urais, alafu Nape agombee ubunge jimbo la Mtama

3: Ila kubwa zaidi ya yote, Nape analipwa na Membe mipesa mingi tu....huku Nape anajua wazi wazi Membe hauziki, wala sio tishio hata kidogo ktk mbio za Urais...Membe hana uwezo, maamuzi, hata kidogo ya kiuongozi...CCM yenyewe hauziki...tabia zake.. mswahili mswahili, zero result oriented, muongo sana sana hata kwa vitu vya wazi...mbaya zaidi..... he is TOOOOOOO SELFISH...!!!!

Niwe open hearted....Membe big NO....!!!
 
Hakuna mwanasiasa CCM mwongo kama Benard Membe

👏👏👍 absolutely true......na ndio maana wanaelewana na Nape...sbb Nape ni hovyo hovyoooo na muongo sana nae....."Birds of the same feather flock together...!!!"
 
Hakuna mwanasiasa CCM mwongo kama Benard Membe

Kuhusu tabia ya kusema uongo Membe ni namba moja akifuatiwa na January Makamba.Huu ni wasifu wao ni vyema kwa kila mtanzania kuufahamu.Katika maneno matano (5) atakayokueleza Membe labda moja ndio lenye ukweli.Ni muongo kupita maelezo.
 
Hata uzushi wa undugu na JK amejitungia mwenyewe.Na bado analazimisha ukaribu wa familia ili watu waamini.
 
Nape akitaka asahaulike kwenye ulingo wa siasa aende Mtama.Uchaguzi wa mwaka 2010 Membe alipita kwa msaada wa polisi kutawanya wananchi . Nape Nnauye mwenyewe ni shahidi wa zomea zomea ya Membe jimboni kwake.
 
Last edited by a moderator:
Simkubali Benard Membe lakini tuhuma zako za kitoto na zisizo na mashiko sio rahisi kupata kipaumbele au kuonekana zina ushahidi wa kutosha kushinikiza viongozi wa chama kumkemea ukilinganisha na maandamano ya watu wa Lowassa. Sasa mlitaka wamualike LUSINDE kwenye mahafari?
 
Huwa nashangaa sana...hv kumbe kuna watu hawajioni kama Membe..Nape...January...yaani hawajioni...hawaoni hata upepo wa Urais unaelekea wapi...

Nawaonea huruma, mvuto, uwezo hawana kabisa....they are FULL OF LIES....funny enough they BEHAVE
PRESIDENTIAL....lol..!!!

Hv nani ATAWAAMBIWA WATANZANIA WA LEO HAWADANGANYIKI....hawa hawafai hata uongozi wowote....!!!
 
naona kinyesi tu humu. hizo mil 50 alikupa wewe uwapelekee? then kuna tatizo gani mtu kuwa mgeni kwenye mahafali? au unaona hiyo ni sawa na yale maigizo ya low-hasa ya kukusanya watu nyumbani tena kwa mtiririko?

Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.

1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki kongamano la vijana (CHINA-AFRIKA) lililoandaliwa na UVCCM na CPC Youth League. Muhusika wa hii idara ni Mama Asha Rose Migiro linalofanyika Ngurudoto.

Hiki ni kinyume kabisa na utaratibu, sheria, kanuni na katiba ya CCM. Tunataka Nape ajitokeze kulikemea hili.

2. Kesho Jumapili Membe anakuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule za Tumaini kule Tabata.

Pia anakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 15 ya Tamasha za nyimbo za injili linaloandaliwa na Msama. Huko kote Membe amehonga jumla ya Milioni 50 ili aalikwe.

Huku ni kuanza kampeni kabla ya wakati kwani wenye akili timamu tunajiuliza kwani ahonge ili awe mgeni rasmi haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?

Narudia tena, Kutaka kusikia domo la Nape likifunguka kukemea kitendo hichi cha Membe kuanza kampeni za urais kabla ya wakati.

Tofauti na hapo tutajua Nape , CCM kwa ujumla tayari wana mgombea wao wa urais na wanataka kuwachagulia kwa nguvu Membe awe Rais.
 
Ukiwaweka Membe na El kwenye hard talk hapo ndio utagundua who is a brain
 
jamani ili tujue nani anafaa kati ya Lowasa na Membe kwa nini tusiwapeleke hard talk au waje wahojiwe na wanahabari wa CNN tuone nani mwenye uelewa mpana?
 
Na yule jambazi sugu lowasa mbona kila wkt anahonga ili aalikwe?
Sisiemu wote wana akili za ng'ombe
 
Back
Top Bottom