Nape aenda Houston kushughulikia Mgogoro wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape aenda Houston kushughulikia Mgogoro wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 29, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nape na Situs wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM ya tawi hilo la Houston-Texas leo, Nape na Six wapo nchini Marekani kwa ajili ya kozi fupi ya masomo ya uongozi katika chuo kimoja nchini humo.
  [​IMG]
  [​IMG]

  Tatizo hawakusema Majina ila walimtaja msadizi wake Sixtus Mapunda

  [​IMG]
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kwani wamesusa kunywa chai waliyowekewa mezani?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  kweli usiamini kila unachokiona loh...... hizi zimekaa vibaya
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Chama Cha Mapaparazi....
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  hao nao watanzania wa Houston waje nyumbani wajionee kama ccm bado ina manufaa kwetu au laa!!miaka 50 ya uhuru bado tuna shule za nyasi
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,678
  Trophy Points: 280
  Kuna moja imefungwa mwezi wa tatu sasa eti haina choo,nimeshangaa sana CCM wametumia bilioni 3 igunga wakati kuna shule inahitaji milioni 5 za kujenga choo tu eti serikali inasema haina hela,je inaingia akilini jamani?
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nape ana matatizo ya mdomo au ni tabasamu
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kumbe kweli kaenda kuwasuluhisha akati matawi ya nyumbani bado utata mtupu.......................huh
   
 9. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Shame on you all Tanzanians who live abroad and still support CCM. Nyie ndo wasaliti wakubwa wa nchi yetu. Mnaishi katika nchi zilizoendelea, mnajua maana na maendeleo ni nini, wengi wenu mlienda wanafunzi mkazamia kwa kuogopa maisha ya Tanzania, wengine mnajulikana kama Warundi, Wanyarandwa au Wasomali ili mpate makaratasi (wenyewe mnajihita wa Kujilipua), leo hii mnashabikia chama kilichotufikisha hapa tulipo. Mnatamani muendelee kubeba mabox huko HUSTON kuliko kurudi Tanzania lakini bada eti mnashabikia CCM. Shame on you. Wasaliti Wakubwa
   
 10. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Hawa wabeba maboksi wamechoka kubeba maboksi na hivyo wanatafuta exit plan ili wakirejea bongo wapate pa kujishikizia! Ninakakubaliana na mdau hapo juu anayesema huwezi kuishi ughaibuni, ukajua maana ya maendeleo, na kisha ukaunga mkono mazagazaga ambayo CCM imetuletea - unless una matatizo ya mtindio wa akili au wewe ni mtoto wa FISADI!!!
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  We mwenzetu hizo habari umezitoa wapi hapo kwenye red? anyway back to the topic CCM ulaya wengi ni ulaji wa mbele kwa mbele hapo ndiyo deal zinapotokea lakini ukweli wenyewe CCM amna deal lolote zaidi ya watu wengi wenye maslahi ya kuuza sera na kukamata tenda za mamtoni zinazotokea bongo.

  Jamaa wengi ni wasanii na wabunifu lakini kusema eti wazalendo ni hadithi, jamaa nasikia alilamba malaki kwa kuuza opener tu zinazoimba CCM (chama chetu cha mapinduzi ........) kiasi mtu ufikirie mara mbili.
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  hako kadada kalikovaa blauzi ya lesilesi (kafupi), kanaonekana kabisa kanatoa lugha ya picha kwa Nape kuwa 'can you have me tonight'? Sasa Nape asipoelewa hata hiyo nitamuona dunya...
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,156
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Hebu watoe huo uchafu wao kwenye nchi za watu.
   
 14. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Mimi pia nakaa hapa Houston kwa muda. Nimekaa hapa kwa miaka mingi kuliko hao wote hapo kwenye picha. Binafsi mimi nathani Watanzania wengi hawafahamu vizuri Watanzania wa Marekani hata balozi hafahamu

  1. Watanzania wa Marekani wengi hawapendi siasa na ndiyo maana hivi vyama mchara havipati umashuhuri wowote.Tofauti na uingereza watu wa huku hawapendi kabisa siasa na wala haina misisimuko kwao
  2. Watanzania wengi ambao hata baba zao walikuwa CCM kwenye uongozi huwaoni hapo kwenye picha kwasababu hata wazazi wao wanawaambia siasa haina mpango!. Kuna watoto wengi tu wa wazee wa CCM hapa!
  3. Ni kweli kuwa hawa Watanzania wachache wana nia binafsi na sio za kusaidia nchi nafikiri ni nia ya kujuana na Watu. Kama kweli hawa wana CCM wa Houston wangekuwa na nia nzuri ya kusaidia Tanzania basi tungewaona kwenye Dicota kule Virginia ambako kweli watu walikuwa wana zungumzia mambo ya maendeleo bila siasa yeyote. Tungewaona kwenye blog za maendeleo lakini hakuna kitu.
  4. Msione watu wachache wanajihusisha na siasa na kusema ni Watanzania wote walio nje au kuwaita wabeba mabox. Ni kweli kuwa sioni watu serious kwenye hicho kikao lakini tuachane kuitana majina kwani kuna community kubwa sana hapa na uwezi kuwachanganya tu kwasababu wanaishi Houston. Hii community kila mtu ana biashara yake hapa ni kama bongo tu hakuna kukutanakutana labda kuwe na msiba mkubwa.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Ninavyowaona mimi ni kikosi cha watu fulani wachache kutoka familia za wanamagamba wanaojitahidi kujikomba na hapo Nape anatafuta popularity aonekane ana mshiko huko sijui Houston au Austin Texas. Unaona wanaona aibu hata kutaja majina yao ikiwa ishara ya kwamba Nape alifika pale kujinadi na hakuna mapokezi aliyotarajia ikabaki hao mashabiki wakiume wasiozidi 7 na mwanamke mmoja. Kweli sikio la kufa hata utumie dawa gani no rescure.

  Wabeba mabox wenyewe wana muda na propaganda za Nape? Hata chama chake cha magamba baada ya kuona domo lake limekuwa sumu kali kwa watanzania kwa kufikiria kujivua gamba ndo sumu yatoka kumbe supu ipo palepale. Sasa huyu anahitajika mahakamani Arusha sababu ya sumu yake aliyotema toka kinywa chake.

  Wakuu wake wakaamua aende akasome kidogo labda atajifunza falsafa ya lugha itumikayo jukwaani badala ya sumu anayoitema ambayo inazidi kusambaratisha chama chake. Bora mzee wa Kaya, aka mzee wa michapo ya kipwani, baba Makamba Yusufu.
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Achana na hao wanafiki. Ila wajue wasipojenga nyumbani, imekula kwao.
   
 17. M

  MwanaCCM Senior Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani hawa wote kuna kitu wanatafuta tuu wala hawana mpango. Wengi wao hapo hata makaratasi ya kwenda tuu bongo kuon hali harisi hawana sasa utaongeleaje ccm hujui kinachoendelea! Kujipendekeza na kuuza sura tuu wala hakuna zaidi! Halafu acheni kujiita "ccm marekani" sababu hiyo ni "ccm houston" kwanza wabongo wote houston ni nyie tuuu ndio mukuja kumuon nape? Hapo ndio utajua hawa watu wanalaooo! Handanganywi mtuuu hapa.
   
 18. S

  Shiefl Senior Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuache kujumlisha watz wajinga wa Marekani au kwingineko na raia wote wa tanzania wanaokaa nje ya nchi. Tunawafahamu wanapinduzi wengi wa Tanzania ama walisomea nje akiwemo Nyerere au walikuwa wanakaa nje wakaona warudi wasaidie gurudumu la maendeleo. Kwahiyo unapotukana tu kwa ujumla jumla embu fikiria mara mbili mbili otherwise hautendei haki jukwaa hili mkuu.

  Na wengine wapo watarudi wameelimika au wametafuta mshiko wa kutosha na kufanya mambo ya maendeleo. Pia siyo kweli kila anayeishi Marekani basi anabeba boxi au anafagia. Wapo tu wenye kazi zao za heshima kuliko za maafisa wengi wa ngazi za juu serikali ya Tanzania.

  Sijui huku kuandika tu kwa ujumla ujumla lini tutaacha Tanzania maana kunatudhalilisha sana
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Watoto wengi wanachama wa CCM waishio Houston wazazi wao walikuwa viongozi wa CCM; au walinufaika na mlango mweupe wa CCM; kwahiyo wengi wao hawajasahau fadhila za CCM

  Kwahiyo wanaona na kupenda Utamu wa CCM -- Ukiangalia ni Who's Who kids of the CCM Members... (A lot of them) Sasa wanataka New York Pia
   
 20. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  huh! hiki mbona kichekesho? nyumbani pana mshinda anaenda kusuruhisha amerika? huyu kijana aisee
   
Loading...