Michelle Hilton
Senior Member
- Jun 26, 2011
- 141
- 15
wengi naona mnamsakama nape na kusahau kuwa c jukumu la nape pekee bali sekretariet kwa ujumla,na msianze kupiga vuvuzela wakat hamjajua matokea,subirin muda uishe
Kwa hiyo wewe ndio ulielewa zaidi? Au?Siku 90 ndio zilitolewa na haikuwa inamaanisha kuwa akina EL,RA na AC waondoke CCM. Waliambiwa kuwa wajiangalie, kama wanafit CCM wabaki na kama wanaona hawafiti wahame!Wameonyesha kuwa still wanahitajika, na mchango wao ni mkubwa kwa taifa. Sasa nyie mnataka waondoke waende wapi?
wengi naona mnamsakama nape na kusahau kuwa c jukumu la nape pekee bali sekretariet kwa ujumla,na msianze kupiga vuvuzela wakat hamjajua matokea,subirin muda uishe
Whoz gamba? LA,EL au chenge? Cal them vigogo! They run CCM.....
Mbona hatuulizi source ya habari yake kama tunavofanyaga?
Haya ni majungu tu,
Mtu kajiunga leo na habari ya hisia tu then tunaamini.
Mleta mada umekurupuka wapi? siku ya kwanza unaanza na umbea.
Ni muongo na mnafiki mkubwa anasumbuliwa na uroho wa madaraka,chuki ubinafsi na uchu wa kujilimbikizia mali kwa njia kuwachafua wenzake.CCM wana wakati mgumu sana kwa uamuzi wowote watakaochukuwa itakula kwao,wakiwafukuza RACHEL siri nyingi za wizi na uchakachuaji wa kura zilizopora ushindi wa Dr. Slaa zitawekwa peupe, na wakiwabakisha hawa mafisadi nyangumi ndiyo wanazidi kujidhalilisha na kuonekana walikurupuka kuleta falsafa ya kujivua gamba.PATAMU HAPO
CCM wana wakati mgumu sana kwa uamuzi wowote watakaochukuwa itakula kwao,wakiwafukuza RACHEL siri nyingi za wizi na uchakachuaji wa kura zilizopora ushindi wa Dr. Slaa zitawekwa peupe, na wakiwabakisha hawa mafisadi nyangumi ndiyo wanazidi kujidhalilisha na kuonekana walikurupuka kuleta falsafa ya kujivua gamba.PATAMU HAPO