Napataje leseni ya kuwa mkopeshaji rasmi?

Napataje leseni ya kuwa mkopeshaji rasmi?

Mtaji mkubwa Sana huo mbna ukianza Kwa chocho .... Sema ni biashara ambayo unatakiwa uwe na roho mbaya Zaid ya shetani ndo utatoboa...
Eeh bila roho ngumu kweli hio biashara ni ngumu mno!
 
Milioni 10 ndogo kwa mujibu wa sheria ya huduma ndogo za fedha 2018, kanuni zake unatakiwa uwe na mtaji usiopungua milioni 20 na chanzo Cha mtaji kisiwe ni mkopo
 
Back
Top Bottom