Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

Yaani mtu aimbe nyimbo zake we upatwe na wasiwasi, kweli? Mbona uonyeshi wasiwasi wowote kuhusu michanga ya nchi?
 
Angekaa akaomboleza na Zali tu sio kukulupuka na hiyo ngoma na kiukweli wimbo pale hamna ila jina lipo na ndol imebeba wimbo
 
MKUU YEYE KAMA YEYE NI VIGUMU KUPAMBANA NA WANIGERIA.INAHITAJIKA NGUVU YA PAMOJA.WASANII WA NIGERIA WANA PEANA SUPPORT SANA.BIFU NI NJE YA KAZI.DIAMOND KAONESHA NJIA BADALA YAKE WATU WENGI WANAMWONA ADUI.HUU NI UNAFIKI SANA.
MTU KAMA TECNO NI PRODUCER MKALI SANA NA NI MSANII MZURI.TECNO ANAMTENGENEZEA NGOMA DAVIDO NA WAKATI HUO HUO TECNO ANASUKIWA NGOMA NA SELEBOBO.HII NI KUONESHA WANAVYOPEANA SUPPORT.
wivu wa maendeleo,majungu na kutokuthamini vya kwetu ni chanzo cha muziki wetu kudumaa miaka ya karibuni.
Kiukweli mondi analinga sana nani atampa sapoti wakati yeye anajiona katusua,na istoshe anapazalau home ndo maana hata show zake kunabaadhi ya sehem haend apa bongo ila ikitokea katuzo ndo utamsikia mi mtz mwenzenu nipigien kula ili niweze kua kinala wakati huji mkoani
Ila kusema ukweli ukisikiliza ngoma kama IF na FALL za Davido, ukaja kusikiliza na hizi za wasanii wetu, utagundua kuwa jamaa wametuacha mbali sana.

Kwishnery Patel amebakiza kiki kwa pikipiki.
 
Halafu kuna mjinga anamlinganisha Davido na diamond kweli? Niache mziki mzuri nikomae na nyimbo mbaya kisa eti uzalendo? WTF nipo zangu club nashangaa zinapigwa nyimbo za Davido tena za juzi hapa na watu wanazielewa utadhani nipo Nigeria, wasanii waache kiki wapige kaziiiiiiii! Tunataka mziki mzuri tutasapoti la sivyo wasitupangie
Mkuu na tunakoelekea nyimbo za shule zitaingia studio
 
Kiukweli mondi analinga sana nani atampa sapoti wakati yeye anajiona katusua,na istoshe anapazalau home ndo maana hata show zake kunabaadhi ya sehem haend apa bongo ila ikitokea katuzo ndo utamsikia mi mtz mwenzenu nipigien kula ili niweze kua kinala wakati huji mkoani
Tuanze kwako wewe binafsi... amewahi kukuringia nini?! Au amewahi kumringia nini japo ndugu yako wa karibu au hata mshikaji wako?! Manake wengine mlivyo watu wa ajabu mnaweza kutangaza fulani anaringa wakati hujawahi kukaa nae karibu hata cku moja!! Oh! Judgment from Instagram!

Pili, hizo sehemu unazodai haendi; umeshawahi kumpa deal la kwenda kupiga show huko akakataa?! Au ulitaka pesa unayomlipa Young Dee ndiyo hiyo hiyo umlipe yeye?! Nani anafanya hicho kitu? We unadhani hata huyo Young Dee unaweza kumpeleka popote kwa dau unalotaka wewe na sio lile linalofanana na tathamani yake?!

Fika dau lake kama hujampeleka popote kupiga show hata kama Nanjilinji!

Hata kama utaumia lakini itabidi tu ukubali for now Diamond is too big for individual promoters. Watu aina ya Diamond shows zao mara nyingi zinahitaji sponsors na sio hawa mapromota uchwara wanaotegemea gate collection ndipo wakamilishe malipo!

Muziki sio charity work bali ni biashara na hivyo usitarajie mtu akapige show kwa 5 millioni eti kisa mnampigia kura!! Hiyo Taifa Stars yenyewe imeshawahi kwenda kucheza japo mechi za kirafiki huko unakosema Diamond haendi?!
 
Ngoja kwanza mkuu nikwambie kitu usilinganishe mpila na mondi,mondi anategemea sana watu na watu ndio tunaoweza kumfanya akawa star au asiwe star ni tofaut na tim ya mpila wao nijuud zao hawapigiw kura,ata ukiwa unajiona ushakua mtu frani kaa na watu piga shoow ata za bure,kwani hao wasanii wanao letwa kwenye fiester wamalekani unataka kusema mondi anawazidi nn labda na kwa nn hua wanakuja fanya show bongwa
 
Tuanze na hilo la wasanii wa US wanaokuja kwenye shows za Fiesta!! GOOD! Mfano mzuri sana!!! Mbona umetaja Fiesta na usitaje waliletwa na promota fulani?!

Wanakuja kwenye Fiesta kwa sababu ile ile niliyokuambia hapo kabla!!! Wale wanakuja Fiesta kwa sababu show ya Fiesta inakuwa na Sponsors na wala usidhani Clouds wanatoa pesa yao mfukoni kuwalipa wale jamaa!!! Ni kama show ijayo ya akina Future hapo Leaders. Tayari kuna Castle Lite ndie mdau wa ile show!!!

Kwamba apige show za bure... hakuna kitu kama hicho!! Popote ukisikia kuna show ya bure sio ya bure hiyo... ndani yake kuna sponsor! Waliosema starehe gharama hawakukosea!!!

Na hata tukija kwenye huo mpira uliosema!! Kwa mfano Kombe la Dunia lisingekuwa na Sponsors unadhani kuna tv station huku Africa ingeweza kuonesha ile michuano?!

Btw, tangu lini mpira wa Tanzania umekuwa hautegemei mashabiki?! Are you serious? We unadhani kujitutumua kwa Yanga na Simba Tanzaania ni nini kama sio utajiri wa watu ilionao?!
 
Wimbo pekee wa Diamond unaonikosha ni UKIMWONA baaaasi, siwezi kuuchoka pale aliimba kweli, wimbo mfupi, hauna madoido wala vikolombwezo, mashair yamesimama, sauti ya hisia, mdundo wa taratibu unaingia mpk kumoyo.
big up sana.
Huo wimbo ndio wimbo wa kuitia kwenye sim yangu, ni kati ya nyimbo kali sana Diamond amewahi kuimba toka dunia imeumbwa na hatakuja kutunga mashairi mazuri kama yale.
 
Wimbo pekee wa Diamond unaonikosha ni UKIMWONA baaaasi, siwezi kuuchoka pale aliimba kweli, wimbo mfupi, hauna madoido wala vikolombwezo, mashair yamesimama, sauti ya hisia, mdundo wa taratibu unaingia mpk kumoyo.
big up sana.
Hio shughuli ya producer manecky, diamond nje ya manecky hamna lolote la maana alilofanya zaidi ya kutoa nyimbo mbovu kimapigo na kimashairi.
Refer to: Ukimwona, Mawazo, Mbagala, Nitarejea, Nenda Kamwambie n.k
 
Indeed, natamani atoe kitu cha hadhi ile tena.
Mimi naona Diamond alipokua amejikita kwenye soko la ndani alikua anatoa nyimbo kali sana. Alipoanza kwenda kimataifa ndio alipoanza kupotea ingawa ngoma zake za kwanza na wasanii wa Nigeria zilikua nzuri sana kama Ngororo, Nana, baada ya hapo ndio akaanza kutoa ngoma za ajabu ajabu.

Ngoma kama Kamwambie, Moyo wangu, Nataka kulewa na nyingine ambazo eiza alipiga mwenyewe au alishirikisha au kushirikishwa na wasanii wa ndani zilikua nzuri sana.

Naona ngoma ambazo anafanya kwa kushirikiana na wasanii wa ndani zinakubalika sana hapa bongo kuliko anazoshirikiana na wasanii wa nje, mfano juzi juzi tu hapa alitoa Kokoro na Chambua kama Karanga zimekubalika sana hapa bongo kuliko hizo za kina Neyo.

Diamond afanye vyote atakavyoweza asisahau soko la ndani, mashabiki wake wa ndani, asipowarizisha hawa akazani anga zake ni za kimataifa tu bila kukonga nyonyo za mashabiki wake wa ndani basi mwisho wake hautakua mbali.

Anyway muda ni mwalimu mzuri, ila mimi binafsi sipendezwi na ngoma anazotoa Diamond siku hizi.
 
Tuanze na hilo la wasanii wa US wanaokuja kwenye shows za Fiesta!! GOOD! Mfano mzuri sana!!! Mbona umetaja Fiesta na usitaje waliletwa na promota fulani?!

Wanakuja kwenye Fiesta kwa sababu ile ile niliyokuambia hapo kabla!!! Wale wanakuja Fiesta kwa sababu show ya Fiesta inakuwa na Sponsors na wala usidhani Clouds wanatoa pesa yao mfukoni kuwalipa wale jamaa!!! Ni kama show ijayo ya akina Future hapo Leaders. Tayari kuna Castle Lite ndie mdau wa ile show!!!

Kwamba apige show za bure... hakuna kitu kama hicho!! Popote ukisikia kuna show ya bure sio ya bure hiyo... ndani yake kuna sponsor! Waliosema starehe gharama hawakukosea!!!

Na hata tukija kwenye huo mpira uliosema!! Kwa mfano Kombe la Dunia lisingekuwa na Sponsors unadhani kuna tv station huku Africa ingeweza kuonesha ile michuano?!

Btw, tangu lini mpira wa Tanzania umekuwa hautegemei mashabiki?! Are you serious? We unadhani kujitutumua kwa Yanga na Simba Tanzaania ni nini kama sio utajiri wa watu ilionao?!
Nieleweshe mkuu hiyo sponsa unayo isema ww niip, mfano show za mikoan hua hakuna hiyo kitu,mbona kuna kampun kibao mikoan hua wanajipanga kwaajili ya kufany hizo mambo kwa wasanii wengine na si mondi au yeye ana nn kama sio kulinga
 
Mimi naona Diamond alipokua amejikita kwenye soko la ndani alikua anatoa nyimbo kali sana. Alipoanza kwenda kimataifa ndio alipoanza kupotea ingawa ngoma zake za kwanza na wasanii wa Nigeria zilikua nzuri sana kama Ngororo, Nana, baada ya hapo ndio akaanza kutoa ngoma za ajabu ajabu.

Ngoma kama Kamwambie, Moyo wangu, Nataka kulewa na nyingine ambazo eiza alipiga mwenyewe au alishirikisha au kushirikishwa na wasanii wa ndani zilikua nzuri sana.

Naona ngoma ambazo anafanya kwa kushirikiana na wasanii wa ndani zinakubalika sana hapa bongo kuliko anazoshirikiana na wasanii wa nje, mfano juzi juzi tu hapa alitoa Kokoro na Chambua kama Karanga zimekubalika sana hapa bongo kuliko hizo za kina Neyo.

Diamond afanye vyote atakavyoweza asisahau soko la ndani, mashabiki wake wa ndani, asipowarizisha hawa akazani anga zake ni za kimataifa tu bila kukonga nyonyo za mashabiki wake wa ndani basi mwisho wake hautakua mbali.

Anyway muda ni mwalimu mzuri, ila mimi binafsi sipendezwi na ngoma anazotoa Diamond siku hizi.
Una muono mzuri sana joh, Labda one day anaweza kubadilika kama tukiendelea kumwambia hivi,

hatumuombei aanguke ila kama wasikilizaji tunataka kile kilicho bora,

umetolea mfano wimbo wa NALIA umenikumbusha mbali sana.
I miss old Diamond kwa kweli.
 
Diamond prod. Manecky ndio anaemuwezea tu. Beats nzuri zisizo na kelele plus mashairi ya modi ya kulalamika mle ndio vinakonga nyoyo. Toka aache kufanya kazi na manecky nyimbo nzuri zilizofata ni kesho,nata kulewa and maybe nana!

Back
Top Bottom