au unampenda sana?miez 9 imetimia nko nae baada ya kutoka kwao, nimemwambia tuachane kabla sijachukua maamuz mengn nlpogundua kn mwanaume kapewa nafas ya ubaba kwa siri
Unataka Ukweli gani sa zaidi ..akati ukweli ndo uo usha upatawadau habari za majukumu, naomba ushauri juu ya hili;ilkua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumban kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito. Lakini ktk kipind chote cha ujauzito alkua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipind yupo huko kwao, mimi nimegundua juzi tu kipind mke wang kajfungua, ndo nkaona sms anajulishwa jamaa kuwa tyr kajfungua. napata waswas juu ya mimba hii na sms kibao nimeona wanachat juu ya huyu mtoto, je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?
kwanza uhalali wa mtoto pili nimfanyeje km nikigundua mtoto c wangu.Sasa braza, dada kamtumia jamaa text, nimeshajifungua mtoto wako! Bado unataka ushahidi wa uhalali wa mtoto?
Uchawi wa mwisho kapime DNA. Ila hapo kuna vitu viwili au vitatu. Kwanza hujaonyesha lipi linalokupa shida? Mkeo kukusaliti? Uhalali wa mtoto? Kuacha au kukaa na mkeo?
Sema unataka nini?
mbane akupe ukwelisimpendi tena ingawa alfanya siri ili kumridhisha hawara ake kuwa kazaa nae wakt yupo ndoani
Hapa tayari umeshajua baba wa mtoto ni nani.Ongea na mkeo mwambie kuwa umekubali kuwa baba mlishi wa mtoto.miez 9 imetimia nko nae baada ya kutoka kwao, nimemwambia tuachane kabla sijachukua maamuz mengn nlpogundua kn mwanaume kapewa nafas ya ubaba kwa siri
Cha muhimu umeshaujua ukweli we muache kwa amani tu. Sio lazima umtoe makovu ndo umuachekwanza uhalali wa mtoto pili nimfanyeje km nikigundua mtoto c wangu.
wadau habari za majukumu, naomba ushauri juu ya hili;ilkua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumban kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito. Lakini ktk kipind chote cha ujauzito alkua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipind yupo huko kwao, mimi nimegundua juzi tu kipind mke wang kajfungua, ndo nkaona sms anajulishwa jamaa kuwa tyr kajfungua. napata waswas juu ya mimba hii na sms kibao nimeona wanachat juu ya huyu mtoto, je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?