Napata wasi wasi

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari zenu wapendwa
Kuna kitu kinanitatiza hiv ila nahis nyie mnaweza kuwa na mtazamo sahihi
Ni hivi toka niwe na mpnz wang hajawahi hata kunipa sh,100 yake i mean kutumia pesa zake ila huwa nikihitaji kitu ananiambia twende tukafanye shopng lkn mm napotezea anaenda anajinunulia vitu vyake of coz me sina shida ya pesa nna kazi yang na om tupo vizuri tu kwa hyo kifupi sina uhitaji wa pesa zake wala sijawahi muomba hata nikichukua tax kwenda nyumbani kwake huwa nalipa mimi simuombi,,

Napata was was yupo sawa kweli???
Au hanipendi??
Pesa tu anazo sana lakn hajawah hata kusema baby chukua hii elfu 10 ulipie tax hakuna
Ushauri pls
 
wewe unasema pesa unazo,na kazi unayo na home mko vizuri sasa unalalamika nini tena!
.....ushauri sasa hebu acha kugawa hilo tunda uje umpe mmeo zinaa haitakusaidia........utaishia majuto tu.

oooh kumbe ndo wewe mwenye vistory vingi mara unapotaka kudu mara nini huishi vituko!
 
Sasa kama kitonga kwa nini aumie?

Na wewe kazi umepewa nzuri ndio maana umeridhika

Mi naona ni sawa tu
 

Ndo mume mtarajiwa huyo huhu
 
Hunashida na hela nyumbani zimejaa ni kama mchanga,.. Hata jamaa anajua hivyo sijui ulikuwa na maana ipi ya kupewa hela au ulitaka tujue..
 

kwake unataka mboo au hela?
 
Mwanaume hutumia pesa yake na mwanamke anayempenda.
 
Asa unataka upewe hela ya nini wakati unazo?

Huridhiki?
 
Yaani nilikuwa nasoma therd zako inabidi tukuite MMU MOVIE unaelezea hadi ndoto!!!

NI SHIDDAAA
 
Nyie bana sijui mmekariri maisha ama ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…