Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

Mrudishe huku st kayumba alipe sh 700 ya upe, atakuwa na akili zaidi ya hizo shule za mamilioni halafu walimu bogus!
 
Ndugu yawezekana mwalimu alitaka waandike jibu kwa Tarakimu na siyo maneno.
 
Nimegundua pia kosa jingine,kwenye box la chini kawekewa tiki wakati kajaza 22, 1+22= 93...
 
Nguvu zangu mbona mwashangaa? Inamaana hayo mmeyagundua leo? Ebu acheni utani! Kwani hamjui kama tupo bongo?
 
Nashindwa hata nielezeeje maana ni shule ya english medium tena shule kubwa tu hapa dar.. Nadham kesho naenda kuwachana..
Take it from me haisaidii. Walimu wanafundisha masomo ambayo nao yanawapiga chenga. Tatizo ni kubwa na ni shule nyingi. Mm ninewahamisha watoto shule mbili, hii waliopo ni ya tatu and its the same shit. Inasikitisha, inakera.
 
Mtoto wako ana akili sana..alikosea ilikuwa shaded kipisi kimoja tu..alipoona kakosa na utamgombeza ka shade na kipisi cha pili pote ili umgombeze mwalimu...na amewapata wote humu mliochangia!!!:D:D:D
Kama ni kweli huyo mtoto ana uwezo wakufanya hivyo, nafikiri huyu atakuwa ni wa grade one basi ninakubaliana na wewe kuwa ana akili sana...... lakini sidhani, hii ni shida ya walimu wetu mm pia nakutana nayo sana tu. Walimu wamekremisha halafu ni wavivu. Mzazi unawasahihisha hata spelling wanashindwa kutumia hata dictionary kujiridhisha kabla ya kuargue.
 
Mtoto amekosea kushade ila mwalimu alikuwa na maana nzuri tuu. Badala ya kuweka kivuli sehemu moja mtoto ameweka sehemu mbili kwani aliyeweka kivuli si mwalimu ni mtoto
 
Back
Top Bottom