Napata wapi mtumba grade One

Napata wapi mtumba grade One

BigBaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,908
Reaction score
9,041
Wakuu mi mfanyabiashara mdogo nataka niuze na nguo za mtumba za kike grade One.

Ctaki kuanza na Bale nataka zile za kulenga napata wapi wakuu hapa jiji Dar.

Mfano kama hizi.
ae06cfd24bd67cd7e7450e9b608af394.jpg

7e4463b627728f4da15c9a97ab7c8773.jpg
6df7bbed4c17fbf032f14d543abae7a2.jpg
 
Niambie nifanyaje sasa
Fanya online shopping. Mfano aliexpress. com unachagua nguo unadownload pictures, unazitangaza ukipata oda unaagiza kama mzigo si mkubwa ni free delivery, baada ya 2 weeks mzigo unafika. Kama mzigo hauzidi $500 hulipi kodi
 
Wakuu mi mfanyabiashara mdogo nataka niuze na nguo za mtumba za kike grade One.

Ctaki kuanza na Bale nataka zile za kulenga napata wapi wakuu hapa jiji Dar.

Nina magauni zaidi ya kumi GRADE I toka Uingereza,bei ni kuanzia elfu 20,000 nasema bei hiyo sababu utauza zaidi ya hapo nina hakika , Kama upo makini nijulishe

Mfano kama hizi.
ae06cfd24bd67cd7e7450e9b608af394.jpg

7e4463b627728f4da15c9a97ab7c8773.jpg
6df7bbed4c17fbf032f14d543abae7a2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom